Mombo Wetu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2008
- 377
- 38
Wakati naandika sikutegemea kueleweka na wote!!! Kwa kuwa nilijua wako wenye mawani za rangi fulani fulani hivi na wapo wale ambao hawana...
So, again you are absolutely right!
CHADEMA wameyafanya yote hayo kwa kiwango kikubwa na cha kuridhisha. Tatizo ninaloliona ni kwamba watu wanaoikosoa CHADEMA katika mbinu zake, akiwemo Rais wetu, ni watu ambao hawajui kazi ya vyama vya upinzani kwa sababu hawajawahi kufikiria kuwa chama cha upinzani. Ndio maana vyama vyote vikongwe viliposhindwa kwenye uchaguzi vilijifia kwa sababu nguzo yao pekee ilikuwa ni dola na sio watu. Ndivyo ilivyotokea kwa KANU, UNIP, Malawi Congress Party na ndivyo itakavyotokea kwa CCM. Siku CCM ikishindwa uchaguzi itakufa ndani ya miezi kwa sababu kinashikiliwa na dola pekee.
Don't misunderstand us. Hakuna mtu anayesema kwamba CHADEMA ni perfect. We are not and that is why we are working very hard to be. For example, one area that we will need to improve soon is the question of balancing militarism and activism vs idealism. At the moment, understandably, there seems to be too much militarism and activism and too little or empty idealism. This is dangerous because militarism and activism have a tendency to fade way so easily because they tend to be associated with personality cults, which they are not sustainable. But then who wants to listen to idealism under the current circumstances in this country? Idealism works optimally only where basic life conditions exist. It cannot exist where people cannot even afford a day's meal, where basic services that make people think and intellectualize are almost non existent. In these circumstances, CHADEMA have to be pragmatic and the route they have chosen to pursue is understandably befitting our current social-political-economic circumstances. It is therefore utterly wrong and ill-thought to label them 'opportunists'.
Mpaka sasa hili ndilo nililiong'amua kama ningeambiwa nani wakum-approve kuongoza Tanzania leo ningesema neither one!
Kuna mengi CHADEMA wanayafanya leo bila kutambua wakiwa madarakani watafanyiwa the same... kwa watu wanaongalia mbali kuna mengi wasingefanya kama wanavyofanya leo... Lakini ndio hivyo tena tabia ya opportunist haangalii mbali sana.
Bado namkumbuka Mh. Mkapa alivyofanya kampeni zake 1995 kwa kuhakikisha haahidi asali alafu a-delive maziwa... yeye alihakikisha hai-raise expectation sana... na eventually akawa winner... seen as over delivered, kumbe ni kwa sababu hakuahidi makuu... JK yeye ameahidi nchi ya ahadi na anadeliver kawaida... regardless what hawezi kumfurahisha yeyote sio kwa sababu kwamba kashindwa bali kwa kuwa ameahidi makuu, hili ndio kosa CHADEMA inalorudia na inalofanya leo.
Muigeni Mkapa... think BIG, think STRATEGIC... na angalieni mbali msijione kama chama pinzani wakati wote... wakati mwingine jioneni kama chama tawala... otherwise itakula kwenu big time!
Wagombea wote including Huyo Malaika wenu Dr. Slaa
walikuwa wanaongelea namna ya kutumia kidogo kilichopo na sio namna ya kutafuta au kumfanya Mtanzania aweze kulipia shule ya mtoto wake mwenyewe, ajenge nyumba yake mwenyewe, alipie afya yake mwenyewe.
In short ahadi nyingi zilikuwa za namna ya kumpa ndugu yako samaki na sio nyavu ya kuvulia au ndoana akavue mwenyewe samaki kwa idadi/kiasi atakachoweza....
Naomba Mungu anipe uwahi nione wanasiasa wengine au chama kingine lakini sio hivi ninavyovifahamu.....
You really make sense!.....I do have bad feelings about these people,they are phony and don't have a strategy.We need a coach not referees!!Kuhusu CHADEMA kukosa idealism ukweli ni kwamba chama ambacho viongozi wake wamekimbilia huko baada ya kukosa nafasi ya chama kingine (CCM) chenye strong idealism hakiwezi kujenga idealism. Kusingizia njaa na vitu vingine ni kuukataa ukweli.
Lakini napenda kuwatoa hofu wachangiaji wanaodhani kuwa kuna siku CHADEMA pamoja na udhaifu wake mkubwa wa kiuongozi, kifikra na mipango watashika dola. Siku hiyo haitatokea. CHADEMA siyo chama chenye maslahi kwa watu wote. Waacheni waendelee na matembezi yao, wala msihofu. Dola haiwezi kuongozwa na mfanyabiashara wa Casino!
Kuhusu CHADEMA kukosa idealism ukweli ni kwamba chama ambacho viongozi wake wamekimbilia huko baada ya kukosa nafasi ya chama kingine (CCM) chenye strong idealism hakiwezi kujenga idealism. Kusingizia njaa na vitu vingine ni kuukataa ukweli.
Lakini napenda kuwatoa hofu wachangiaji wanaodhani kuwa kuna siku CHADEMA pamoja na udhaifu wake mkubwa wa kiuongozi, kifikra na mipango watashika dola. Siku hiyo haitatokea. CHADEMA siyo chama chenye maslahi kwa watu wote. Waacheni waendelee na matembezi yao, wala msihofu. Dola haiwezi kuongozwa na mfanyabiashara wa Casino!
You really make sense!.....I do have bad feelings about these people,they are phony and don't have a strategy.We need a coach not referees!!
Mkapa si mtu wa kuigwa. Granted aliiacha Tanzania katika hali bora kuliko hii aliyotuweka Mkwere lakini kwa ufisadi wake ndio matunda tunayovuna hivi leo. Mkapa asingekuwa fisadi Mkwere katu asingeingia ikulu. Kwa hiyo mema yote aliyoyafanya Mkapa yanafutwa na kumweka Mkwere mamlakani.Mpaka sasa hili ndilo nililiong'amua kama ningeambiwa nani wakum-approve kuongoza Tanzania leo ningesema neither one!
Kuna mengi CHADEMA wanayafanya leo bila kutambua wakiwa madarakani watafanyiwa the same... kwa watu wanaongalia mbali kuna mengi wasingefanya kama wanavyofanya leo... Lakini ndio hivyo tena tabia ya opportunist haangalii mbali sana.
Bado namkumbuka Mh. Mkapa alivyofanya kampeni zake 1995 kwa kuhakikisha haahidi asali alafu a-delive maziwa... yeye alihakikisha hai-raise expectation sana... na eventually akawa winner... seen as over delivered, kumbe ni kwa sababu hakuahidi makuu... JK yeye ameahidi nchi ya ahadi na anadeliver kawaida... regardless what hawezi kumfurahisha yeyote sio kwa sababu kwamba kashindwa bali kwa kuwa ameahidi makuu, hili ndio kosa CHADEMA inalorudia na inalofanya leo.
Muigeni Mkapa... think BIG, think STRATEGIC... na angalieni mbali msijione kama chama pinzani wakati wote... wakati mwingine jioneni kama chama tawala... otherwise itakula kwenu big time!
Vipofu wawili wanaongozana na kujipongeza kwa kufuata harufu bila kujua kuwa upofu wao umesababishwa na kukaa gizani kwa muda wa miaka hamsini. Ghafla mwanga huo na kama walivyo jamii za gizani kama mafisi na mapanya, taharuki yao kubwa kwao ni kujificha na namna gani watakavyoweza kubaki gizani. Si ajabu bila kutafakari mazuri ya mwanga, kumsikia moja akitamka bila haya, "over our dead bodies, kamwe hatutaruhusu mwanga !"
Tatizo ni kuwa mwanga na giza haziivi chungu kimoja, mojawapo lazima akimbie na kutokomea anapoingia mwingine na kwa bahati nzuri mwanga daima hushinda. Tanzania iko gizani na hivyo imegeuka uwanja wa mafisi, mapanya, mbu na chawa, wote wanapigana vikumbo ndani ya banda la chama tawala, CCM. Mara Mbowe huyo mlangoni na taa mkononi ngoja mwenye banda aanze kubwabwaja ovyo kwa hofu eti mwanga utaleta machafuko ! Na bado, mtamulikwa wote kizazi cha giza nyie, ole wenu.
Anachosema kasheshe ni sahihi kabisa.
Ni ushauri ambao CHADEMA wanastahili kupewa katika muda huu.
CHADEMA wamedhihirika wakitoa toa ahadi bila kuwa na mkakati wowote wa kuzitekeleza, na hilo limewagharimu, linawagharimu na litawagharimu.
Baada ya uchaguzi mkuu, CHADEMA wallisema kuwa wameibiwa kura na kwamba wana mkakati wa kuhakikisha haki yao haiendi bure. Dr. Slaa akaahidi kutoa vithibiti vya dhuruma aliyofanyiwa na usalama wa taifa. HAKUFANYA HIVYO MPAKA LEO.
Baada ya kutangaza kuibiwa kura CHADEMA walitangaza kutokumtambua Rais, jambo lililofuiatiwa na michezo ya kuigiza bungeni na kukacha shughuli za kitaifa kama siku ya Uhuru. CHADEMA WAMESHINDWA KUSIMAMIA MAAMUZI YAO HAYO.
Arusha, CHADEMA wamewaahidi wananchi kuwa kamwe hawataruhusu meya wa CCM aongoze Halmashauri hiyo. Wakaandaa maandamano uchwara ambayo yameishia kwa viongozi wa CHADEMA kuwa watuhumiwa. Meya anaendelea na kazi yake. CHADEMA KWA MARA NYINGINE IMESHINDWA KUTEKELEZA AHADI.
CHADEMA walisema wanaweza kushirikiana na CUF bungeni. Hivi sasa wanakuja na alibi za kitoto kabisa. Hii ni kinyume na kauli ya awali. HAWAJATENDA WALICHOSEMA.
Sasa hivi CHADEMA wametoa ultimatum ya siku tisa kwa serikali. Siku tisa zitaisha na CHADEMA hawatafanya lolote.
Mnyika aliahidi kuwasaidia wananchi wa Kimara wasibomolewe nyumba zao. Wafanyabiashara wa mitumba manzese wasiondolewe. Jana wafanyabiashara wameondolewa, nyumba Kimara zinabomolewa ili kutanua barabara. Mnyika ameshindwa kudeliver his promise.
Kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
Kitila analazimika kuwa mkweli angalau kiasi. Yeye mwenyewe ndio amekuwa "mtaalam" wa kuubaka uchaguzi wa akina mama ili watu fulani wazawadiwe Ubunge wa viti maalum. Usawa unaaongelewa na CHADEMA majukwaani uko wapi? Demokrasia ndani ya CHADEMA iko wapi? Kama demokrasia ndani ya chama haiheshimiwi, je mkishika dola ndio mtaanza kuiheshimu?!!!
Kiujumla CHADEMA wamekuwa ni watu wa maneno maneno tu. Hakuna vitendo. Wako kama shabiki wa Manchester anayemlaumu Rooney kwa kutokucheza vizuri; hii siyo kumaanisha kuwa yeye (shabiki) akiingizwa uwanjani atacheza vizuri zaidi ya Rooney.
Kasheshe amekuwa mkarimu kwa CHADEMA. Mnapaswa kumshukuru.
Ushauri aliotoa mtoa mada ni mzuri sana.
Kwa kuongezea tu, Chadema wangekuwa effective zaidi wangekuwa wanatatuwa matatizo badili ya kulalamika na kuhamasisha watu walalamike.
Hivi, kama wameona mtu ana-fisadi, kinawashinda nini kuchukuwa hatua za kisheria na badala yake kuanzisha maandamano?
Kama kweli Chadema ni viongozi wazuri, wasingekuwa wanazidisha matatizo badala ya kutatuwa matatizo, wangeanza kutatuwa matatizo na kuonyesha mfano na si kutuzidishia matatizo.
I'm not confinced kwamba kila mkosoaji mzuri ni mtendaji mzuri... read between lines guys.
Kuna mengine yatang'amuliwa na wale walio kataa kuvaa miwani ya Kijana au ya bluu tu... depending miwani gani umevaa ndivyo utakavyoiona Tanzania! And I can assure you none will be wrong in his/her perspective b'se everything depend anatoa msimamo akiwa amevaa miwani gani?
Best Wishes... Wana JF.