CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

Sandeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
666
Reaction score
298
Habari!
Binafsi hili vuguvugu la kuiponda ccm na kuiona haifai linaniumiza sana,
Nimezoea kula bure (kula kwa kupitia deals).
Nasafiri bure (nadhani hapa ni kwa kodi za walala hoi).

Chochote nitakacho napata kwa sababu CCM ipo madarakani, rafiki zangu kibao wamepata ajira kubwa kubwa regardles ujuzi wao mdogo na elimu yakuunga unga walionayo,(wawili wapo bandari, wanne wapo maliasili) just because ccm ndiyo wameshikilia dola.
Nina magari zaidi ya mawili, i got them kwa sababu tu ccm iko madarakani.

Ninavyosikia juu ya kufa kwa CCM naweweseka sana jamani.
Ila ninaamini CCM wakishindwa 2015.

Tupo wengi sana tutakao kuwa maskini, si mimi peke yangu.
Machale yananicheza sana.

Akina riz washajiwekewa njia m'badala yakujinasua endapo chama hakitaingia madarakani 2015.
Tunapambana kwa kila njia kwa maslai yetu, umaskini si mzuri jamani!

Maisha yakupanda bodaboda na kugombania daladala ni magumu jamani.

Nitafurahi ccm isipokufa niendelee kuishi kwa ubwerere.
Hata wenzangu nao watafurahi..
 
Nape chukua hii, maana we ni una utajiri wa Matusi tu, hata vi-miradi vya mbogamboga sijui kama unavyo
 
Asikudanganye mtu maisha ya bwerere hayakumbuki vi miradi wala nini.
nilidhani tutakuwa madarakani siku zote.
 
Mh. ukweli unakuweka huru, ila mambo ya siasa kama unavyoyashuhudia tafakari chukua hatua
 
Kwani chama kikishindwa uchaguzi ndio kinakufa?
 
Nichukue hatua kiaje? we unadhani kuna mtu mwenye mapenzi na ccm kwa maslai ya taifa?
 
Kwani chama kikishindwa uchaguzi ndio kinakufa?

kwa ccm mi naona kitakufa kwa namna kinavyoendeshwa. e.g matumizi ya dola na sera za kujinufaisha sisi wenyewe!! so kufa ni rahisi kama hatutabakia madarakani!! au tutabakia afu tutee nini tena? elimu, tunaiharibu wenyewe, tembo (rasilimali) tunaharibu wenyewe.. mh! kuendelea kuexist whle hatupo madarakani itakuwa ngumu sana!! Muhimu tusitoke madarakani...
 
Mh!labda tulioko chini tutasogea juu na kuwa na maisha yenye usawa!kupanda boda2 na kugombania dala2!natamani ife hata kesho!pole sn mpendwa maana mko wengi mtakaokufa,tena wengi kwa pressure.
 
Ccm haijakupa mume?!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ha ha ha ha...haijanipa mke! nilioa mwenyewe. nilipata faida kubwa siku ya ndoa, just because wanaccm walihudhuria wengi..
 
mimi naomba sana utangulie wewe na ssm ndiyo ifuate maana bila kufa ssm wote haiwezi kufa! ila watakufa maana ina mtaji wa wazee tupu!
 
hata vijana wapo kibao? afu la ziada vijana wa huku ndiyo wanawakati mgumu sana
 
Habari!
Binafsi hili vuguvugu la kuiponda ccm na kuiona haifai linaniumiza sana,
Nimezoea kula bure (kula kwa kupitia deals).
Nasafiri bure (nadhani hapa ni kwa kodi za walala hoi).

Chochote nitakacho napata kwa sababu CCM ipo madarakani, rafiki zangu kibao wamepata ajira kubwa kubwa regardles ujuzi wao mdogo na elimu yakuunga unga walionayo,(wawili wapo bandari, wanne wapo maliasili) just because ccm ndiyo wameshikilia dola.
Nina magari zaidi ya mawili, i got them kwa sababu tu ccm iko madarakani.

Ninavyosikia juu ya kufa kwa CCM naweweseka sana jamani.
Ila ninaamini CCM wakishindwa 2015.

Tupo wengi sana tutakao kuwa maskini, si mimi peke yangu.
Machale yananicheza sana.

Akina riz washajiwekewa njia m'badala yakujinasua endapo chama hakitaingia madarakani 2015.
Tunapambana kwa kila njia kwa maslai yetu, umaskini si mzuri jamani!

Maisha yakupanda bodaboda na kugombania daladala ni magumu jamani.

Nitafurahi ccm isipokufa niendelee kuishi kwa ubwerere.
Hata wenzangu nao watafurahi..
Nahisi una pre-tend,lakini vyovyote iwavyo tambua kwamba hata wenye mapepo hujiona wanafaidi na wengi hfaidi kwa mapepo yao wakiwemo waganga wa kienyeji na wapiga ngoma za mashetani, hao wote hupata mlo wao na kusomesha watoto wao kwa kuwafurahisha na au kuwahakikishia makao salama mashetani walio ndani ya kiumbe binadamu mwema ambaye huteswa bila mwenyewe kujijua!
Wote hugundua walikuwa kifungoni baada ya watu wa mungu kuyatoa mashetani hayo kwa nguvu, wenye mapepo/mashetani huwa ni wagumu sana kukubali kwamba wanayo na kimsingi ni kama wanakuwa wapepumbazwa kiaina,wankuwa wapofu, wanfikiria ngoma wanazochezewa na kuku weupe pee au weusi tii wanazo chinjiwa na mikufu ya dhahabu wanayoipata na kusau watoto wao wanayo kufa na kupata uchizi kwa kuvuta unga!
Mapepo hayo yakitolewa huona dunia mpya nzuri na njema ambayo hawakuwahi kuiota. Hushuhudia wengine na kujishangaa, nn kiliwafunga.
Yakupasa ufunguliwe rafiki.
Umepagawa na mapepo ccm.
 
Mh!labda tulioko chini tutasogea juu na kuwa na maisha yenye usawa!kupanda boda2 na kugombania dala2!natamani ife hata kesho!pole sn mpendwa maana mko wengi mtakaokufa,tena wengi kwa pressure.

hakuna pressure wala density..what we fear is poverty, nguvu unazoziona ni kudefend maslai yetu.
 
Back
Top Bottom