Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
Kama kiongozi tumia busara kidogo kuficha mapungufu yako kwenye kila neno likutokalo kinywani Dogo. Hizi kauli za fasta fasta zina kugharimu kila Siku wewe na ccm lakini hukomi your so unique compare to other junior leaders unakuwa Kama mzee makamba bwana tuliye amini ni sababu ya elimu Haya na wewe niñi tuseme? badilika kidogo for the sake of your deadly political party majibu yako yanaweza ficha udhaifu wako hukufundishwa shule, wazazi na Hata kimjini mjini pia??? Nategemea mabasiliko kwenye kauli zako ni ushauri tuu hutaki Wacha.....
umesema jambo la msingi sana, tatizo ni kuwa ccm is meant to die, and that's God's plan; I believe, ndo maana unaona kuanzia viongozi mpaka kina 'zomba' humu ndani, mara nyingi wanaongea vitu ambavyo huishia kutuacha midomo wazi, kuna wengine wamefikia kutishiana bunduki nasikia, kisa madaraka, tena wanatoka chama kimoja, majukwaani utawasikia... oooh cdm ni waroho wa madaraka.
wakati wa kampeni jk alisema akiomba kura, "tunajenga nyumba moja, kwa nini tugombee fito" kauli hiyo haikuwa sahihi kwa wakati ule 'cause hata yeye alikuwa anagombea fito...
SIMLPY:
ccm hawajui waseme nini, wakati gani na mahali gani, wanaropoka tu. communication skills zero.
mind you, huu ni mpango wa Mungu kutukomboa.