CCM chali Lumumba....

Kama kiongozi tumia busara kidogo kuficha mapungufu yako kwenye kila neno likutokalo kinywani Dogo. Hizi kauli za fasta fasta zina kugharimu kila Siku wewe na ccm lakini hukomi your so unique compare to other junior leaders unakuwa Kama mzee makamba bwana tuliye amini ni sababu ya elimu Haya na wewe niñi tuseme? badilika kidogo for the sake of your deadly political party majibu yako yanaweza ficha udhaifu wako hukufundishwa shule, wazazi na Hata kimjini mjini pia??? Nategemea mabasiliko kwenye kauli zako ni ushauri tuu hutaki Wacha.....

umesema jambo la msingi sana, tatizo ni kuwa ccm is meant to die, and that's God's plan; I believe, ndo maana unaona kuanzia viongozi mpaka kina 'zomba' humu ndani, mara nyingi wanaongea vitu ambavyo huishia kutuacha midomo wazi, kuna wengine wamefikia kutishiana bunduki nasikia, kisa madaraka, tena wanatoka chama kimoja, majukwaani utawasikia... oooh cdm ni waroho wa madaraka.

wakati wa kampeni jk alisema akiomba kura, "tunajenga nyumba moja, kwa nini tugombee fito" kauli hiyo haikuwa sahihi kwa wakati ule 'cause hata yeye alikuwa anagombea fito...

SIMLPY:
ccm hawajui waseme nini, wakati gani na mahali gani, wanaropoka tu. communication skills zero.

mind you, huu ni mpango wa Mungu kutukomboa.
 
mfadhili mkuu wa chadema ni kanisa katoliki.source ni chanel ten na magazeti ya leo

Hii Kazi muliyotumwa na Ridhiwani na baba yake Jakaya KIkwete kupitia gazeti lake la Sauti Huru mumpelekee salamu kwamba tangu alivyoanza kupambana na kanisa kupitia gazeti la Uhuru,Habari leo,Jambo leo mumeona kanisa limetetereka,Kanisa katoliki halijawahi kushindwa kitu,Mwambie Ridhiwani kama anavisa na Slaa asilihusishe kanisa
 
Ni kweli Mkuu tuliambiwa Mwaka 2005 kuwa JK ni mkombozi toka kwa mungu kumbe ni kweli sasa Naamini kila mkombozi huja na staili Yake kumbe kaja Kuua ccm ndio tupate ukombozi mungu ni mkubwa kutuletea nabii JK na watumishi wake akina nape, mukama etc




umesema jambo la msingi sana, tatizo ni kuwa ccm is meant to die, and that's God plan; I believe, ndo maana unaona kuanzia viongozi mpaka kina 'zomba' humu ndani, mara nyingi wanaongea vitu ambavyo huishia kutuacha midomo wazi, kuna wengine wamefikia kutishiana bunduki nasikia, kisa madaraka, tena wanatoka chama kimoja, majukwaani utawasikia... oooh cdm ni waroho wa madaraka.

wakati wa kampeni jk alisema akiomba kura, "tunajenga nyumba moja, kwa nini tugombee fito" kauli hiyo haikuwa sahihi kwa wakati ule 'cause hata yeye alikuwa anagombea fito...

SIMLPY:
ccm hawajui waseme nini, wakati gani na mahali gani, wanaropoka tu. communication skills zero.

mind you, huu ni mpango wa Mungu kutukomboa.
 
mfadhili mkuu wa chadema ni kanisa katoliki.source ni chanel ten na magazeti ya leo
alaaa kumbe!!!!........... Gazeti lenyewe ni ......."sauti huru" ..... Linamilikiwa na "dhaifu!" ...... Ngoja nikajipatie kitoweo ziwani hapa napoteza muda!.....
 
Back
Top Bottom