huu ni uongo wa kustajabisha sana, hakuna ambaye hajalipwa mshahara wala posho. Lakini pia hatulipi watu kwa umbea wala uzushi unaoandikwa kwenye mitandao,acheni kuzusha mambo.....
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....
Mkuu jibu umelipata hapa chini.Utackia nape anasema huo ni uongo,uzushi,unafiki ni cdm wanazusha tu mambo haya hayana ukwel wowote
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....
huu mwaka mnalo kaka,
Mtu anapokosa kazi anakuwa na muwasho wa ajabu kila sehemu ya mwili wake.uzi huu umepostiwa na mtu mwenye muwasho sehemu kadhaa za mwili wake.
si majibu ya kiongozi haya ulipaswa kujibu kuwa wamelipwa ....huo ndio uongozi na si kuweka maneno mengine yanakuonesha jinsi ulivyo!
Kaka jifunze lugha za kimaandishi kwenye mitandao ya kijamii! Matumizi ya herufu kubwa tupu inapo kuwa sio kwenye heading basi maana yake ni kufoko au kupiga kelele.
Chukua somo hilo kwa leo japo najua kuwa una udhaifu wa kutoweza kuongea kiungwana na taratibu! Wewe ni mayowe mayowe na wewe.
Lipeni wafanyakazi wenu kama hamjafanya hivyo!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
napitaa...pale lumumba...kuna kijana kamaliza informatics udom namuonea huruma sana.
Umeleta habari kicdm cdm,halafu source ni wewe.usiwe na wasiwasi,watakuja wenzako kushabikia humu.
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....
Heee nini tena na huku lumumba yaani raha tu. Ehee hela wanapeleka wapi? Heheheheh
Napitaa...pale lumumba...kuna kijana kamaliza informatics udom NAMUONEA HURUMA SANA.
huko wapi
nikulete unikune
mkuu uliye copy
T2015CDM Je
nani anawashwa kama
sio wewe but msg send and
...........
V
SENGEREMA
taahira na kichaa sio lazima aokote makopo.post kama ya kwako hainipi shida kujua kama ww ni taahira au kichaa
Umeleta habari kicdm cdm,halafu source ni wewe.usiwe na wasiwasi,watakuja wenzako kushabikia humu.