CCM chali Lumumba....

Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

Ilitosha kukanusha hii taarifa tu bila haya mengine! Wewe ni kiongozi na imekupasa kuelewa mipaka ya lugha unayoitumia kwa watu wengine. Tafsiri yangu kwa kauli ya pili nimekuona wewe uko chini sanaaa. Unatuangusha! Kiongozi hajibizani!
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

Asante kwa ufafanuzi Nape Japo haijawaikutoa mwajiri akakiri kutokulipa wafanyakazi wake
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

Siwapendi nyie ccm lkn kwa hili hata mie nilianza kutoamini,mleta thread naona kakurupuka kwa msukumo flani. Thanks kwa kujitokeza mapema tu na kufafanua
 
Nape, kwa kweli yangu naichukia sana CCM. PolisiCCM yenu imeua mtu Morogoro kwa risasi eti mnaficha, mnasema alipigwa na kitu kizito kichwani. Mwisho wenu ni 2015!
 
Hivi kwanini padre slaa aliasi kanisa halafu akatelekeza familia kisha akapora mke wa mtu?
 
Habari nilizozipa sasa
ni kuwa makao mkuu madogo ya CCM
Lumumba, wafanyakazi wake hawajalipwa posho na mishahara
yao ya miez kibao na ndio sababu
ya siri nyingi za chama na serikali upatikana kama vitumbua.... kwa hasira.

Nape/Mwigulu lipeni pesa wafanyakazi
mnatesa familia zao...au achane hivyo
hivyo tuwapakue zaidi

SOURCE: mfanyakazi alionipakulia
mambo mengi na mazito.

V
SENGEREMA.

Vipi Komu keshaenda kuchukua cheque kwa Sabodo au anamsubiri katibu arudi Iringa? Hakuna ubishi CDM wanakula hongo kuwalinda wahindi nchi hii ndio maana huwezi kusikia hata siku moja wakiweka uozo wa wahindi hadharani.
 
Nape, kwa kweli yangu naichukia sana CCM. PolisiCCM yenu imeua mtu Morogoro kwa risasi eti mnaficha, mnasema alipigwa na kitu kizito kichwani. Mwisho wenu ni 2015!

morogoro polisi wapo tangu uhuru,hajafa mtu,iweje leo wameenda chadema ndio afe kijana wa watu?pale iramba hali kadhalika.kwanini kila walipo chadema kuna umwagikaji wa damu?mwenye akili pekee ndio anaweza kujiuliza hili swali.
 
Nchi imewashinda hii mbona wezi majambazi, vibaka mnashindwa kuua? kule mabwepande yule Dr alikuwa na CHADEMA, muda wenu wa kutuibia na kuua raia wema ushapita hiyo 2015 wote lzm mkimbie hii nchi
 
sio hio tu kuna watu wa ccm wamekuja toka nje ya mji kuja kupiga kura wamelala bila hata kujifunika nje za ofisi za ccm na asubuhi wameshinda hata kunywa chai mchana wamepewa elfu tano watu kumi wakale
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

Kama kiongozi tumia busara kidogo kuficha mapungufu yako kwenye kila neno likutokalo kinywani Dogo. Hizi kauli za fasta fasta zina kugharimu kila Siku wewe na ccm lakini hukomi your so unique compare to other junior leaders unakuwa Kama mzee makamba bwana tuliye amini ni sababu ya elimu Haya na wewe niñi tuseme? badilika kidogo for the sake of your deadly political party majibu yako yanaweza ficha udhaifu wako hukufundishwa shule, wazazi na Hata kimjini mjini pia??? Nategemea mabasiliko kwenye kauli zako ni ushauri tuu hutaki Wacha.....
 
Habari hii ni yakweli tena sio leo tu, yapata mie sita ilyopita ndipo tafrani la chini kwa chini lilipoanza,

Nape atabisha kwakuwa yeye yupo kwenye V8 na kwenye kiti cha kuzungunguka ofisini huku kiyoyozi kikiwa nyuzi za ubaridi 18, wakati wapigadebe wake pale Lumumba wakihemea juujuu kama perege kwa ruzuku ya kijani tu
 
Kama kiongozi tumia busara kidogo kuficha mapungufu yako kwenye kila neno likutokalo kinywani Dogo. Hizi kauli za fasta fasta zina kugharimu kila Siku wewe na ccm lakini hukomi your so unique compare to other junior leaders unakuwa Kama mzee makamba bwana tuliye amini ni sababu ya elimu Haya na wewe niñi tuseme? badilika kidogo for the sake of your deadly political party majibu yako yanaweza ficha udhaifu wako hukufundishwa shule, wazazi na Hata kimjini mjini pia??? Nategemea mabasiliko kwenye kauli zako ni ushauri tuu hutaki Wacha.....

Msamehe hapo alipo hajui hata tarehe yaleo, anaogelea kwenye pepo ya ulimbukeni, kanona hana shida kabisa
 
Your weakness is my strength and the hole in your house is my breakthrough. Kukanusha kwa Nape hakubadilishi kitu kwani anatimiza wajibu wa kazi yake ila tunachojua CCM kwisha in all fronts. Kwa heshima msisubiri yawapate yaliyoipata KANU just achia njia CDM wachanje mbuga
 
nyie si mnapata posho toka kanisa katoliki sisiem hawana mfadhili km wa kwenu

asante kwa kunijuza, kumbe bila mfadhili mambo yenu hayaendi eeh, ...eti sisi hatuna wafadhili kama cdm... naishia hapo, naogopa ban.
 
Huna lolote kazi yenu ni kukanusha hata ukweli!

Hata mkikamatwa na vitumbua mkigawa bado mnakanusha!

Nilitegemea utakanusha kama kawaida yako!
Ngoja documents zije!

Swali kabla haujalala je wale ndugu zako walio kamatwa wanagawa vitumbua na maandazi utawavua gamba?

Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....
 
Back
Top Bottom