mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea
Hivi Bunda s ndio jimbo la Wasira yule alie sema Chadema itakifa kabla 2013 haijaisha?? Naona yamebaki masaa, sasa Ccm inaanza kufa jimboni kwakeChama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea
Napendekeza watakaochukua form walipwe mafweza ili kukiondolea chama aibu ya kukosa mgombea. Time will tell!Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu. Wampeleke ZZK akagombee watashinda. Period>
Wakati hayo yakijiri CCM zanzibar wamefanya maadamano kupinga rasimu ila wao wamedai ni matembezi.
Msalani na wenzio please come here and explain this!