CCM Bunda kutoa form za kugombea bure

Mliopo Bunda mkipata Mgombea mtujuze ili sisi wana CCM tupate pa kupumua maana ni aibu jamani leo siku ya Tano Nape kimya
 
CCM inaanza kufa taratibu,hadi kufikia 2015 watakuwa wamebaki kiduchu wasiofika hata 200!
 
Hii ni mbinu mpya kabisa iliyobuniwa na CCM ya kuhonga fomu za udiwani baada ya kumaliza hongo zote.Hongereni magamba kwa ubunifu huo wa kuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya.
 
kuweni makini mkuu wa wilaya hiyo bw mirumbe Serengeti alilazimisha hadi diwani wa kata ya machira kupora kura
 
kuweni makini mkuu wa wilaya hiyo bw mirumbe Serengeti alilazimisha hadi diwani wa kata ya machira kupora kura
Tena ana kesi ya kujibu aliwateka vijana wa chadema na kuwatesa kuliko ilivyokuwa operation Tokomeza
 
Jambo muhimu kwenu si mfurahi kwa vile mmepata Udiwani wa bure? Isijekuwa story ya mbuni unaficha kichwa chini ya mchanga ili watu wasikuone February ndio mwisho wa shughuli isijekuwa matokeo yanatangazwa mnapotea humu JF tunawajua ninyi kwa propaganda nyeusi mmejaaliwa.
 
Nyie Vijana wa Chadema katika dhambi mnayotakiwa kutubu ni UONGO sijawahi kuona vijana waongo na wanafiki kama nyie, hivi hii inahusu Bunda ya Kenya Mbeya au Mkoa wa Mara?
Kama ni Mara basi tusubili tuone chadema kama itashinda.
Hakuna taarifa ya wagombea kujitoa Bali walienguliwa na wanaojitokeza ni watu wenye sifa.
Subilieni aibu yenu February mwaka huu.
Happy new year!
 
hili jina ulipewa na wazazi wako???? na je we ni mtoto wa ndoa???
 
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea
kwa nini mwanachama mmoja wa chadema asichukue fomu kwa ticket ya ccm halafu uchaguzi kama kesho ajitoe na kumuachia mgombea wetu wa chadema??
 
Back
Top Bottom