Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
kwa nini mwanachama mmoja wa chadema asichukue fomu kwa ticket ya ccm halafu uchaguzi kama kesho ajitoe na kumuachia mgombea wetu wa chadema??
Uhuni huo hufanywa na ccm. Chama makini kama chadema hakiwezi kurithi uhuni wa kijinga kwenye demokrasia kwa namna hiyo.