CCM Bunda kutoa form za kugombea bure

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,729
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea
 
Ukiona chama kilicho madarakani kina fanya hivo ujue kazi imefika! Watanzania tulieni tu huu ujasiri unazidi kuwaingia raia!! Bado form za urais nazo wataitoa bure huko mbele ya safari
 
wakati ccm bunda wanatoa form za ugombea bure mkuu wake wa wilaya ya bunda bwana mirumbe hapa masurura katika msiba wa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi akitoa salaam za chama chake.amedai kuwa ccm ni imara na wanategemea kupata ushindi wa kishindo katika kata ya nyasurura kama kumuenzi mwenyekiti wa jumuia ya wazazi mkoa wa mara bwana rafael mwita.
 
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea

Hivi matiko bado ni kiongozi wa cdm?
 
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea
Hivi Bunda s ndio jimbo la Wasira yule alie sema Chadema itakifa kabla 2013 haijaisha?? Naona yamebaki masaa, sasa Ccm inaanza kufa jimboni kwake
 
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu. Wampeleke ZZK akagombee watashinda. Period>
 
hatimaye ccm kwishakazi ! Tuliwatahadharisha madhara ya nguvu umma lakini mliziba masikio .
 
huyo mkuu wa wilaya anaota ndoto nini sikuhizi kuna piga kura na linda kura
 
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea
Napendekeza watakaochukua form walipwe mafweza ili kukiondolea chama aibu ya kukosa mgombea. Time will tell!
 
shida huu uchaguzi umekuja kipindi kibaya, mzee wa gombe yupo kwa mganga wa kienyeji arudishwe kwenye uwaziri sasa nyumbani kwake kunaungua moto wa petrol, sasa anashindana na maji marefu naye anautaka uwaziri wa wasira
 
The days were numbered just yesterday and yet are over today ...Mungu Tupatie Tanganyika yetu mpya ikiwa ni ishara ya kurudi Israeli kutoka utumwani Masri.
 
Wakati hayo yakijiri CCM zanzibar wamefanya maadamano kupinga rasimu ila wao wamedai ni matembezi.
 
Wakati hayo yakijiri CCM zanzibar wamefanya maadamano kupinga rasimu ila wao wamedai ni matembezi.

wangekuwa ni watu wa peeepoozz pawa,ungesikia,kuna alshababu ama kuna viashiria vya kuvuruga amani, hivyo maandamano yangepigwa marufuku.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom