Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,391
- 1,259
Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CDM mbn mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbn kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbn mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbn mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Kwahiyo ofisi za vyama vya upinzani zikifugiwa kuku ndiyo itakuwa dawa ya korona?Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Huyu jamaa yupo kigomaSasa hivi tutaanza kuwawinda na sisi! Huwezi kuleta upumbavu tukuchekee mshamba wewe.
Vipi uchaguzi mdogo kule kigoma mtashiriki? Maana mbaya wenu kaondoka!Bado lile kundi la jiwe la watu wasiojulikana litakuwepo? Mama naye kakubali kulifadhili ili kumsaidia kuteka na kuua wapinzani?
Kachanganyikiwa maana hajui kesho atakula nini maana mfadhili wake ndiyo hivyo tenaBado upo kwenye ulimwengu wa kutishana hadi leo mshamba sana wewe. Hoja yako nayo ya kishamba sana.
Wamevurugwa sanaNyie wajane mnajidhalilisha, hebu malizeni Eda ndiyo mshike simu.
Kigoma huyohuyu mtoa mada ni wa wapiiiiiii?
Na bado utapigika hadi utudie kazi yako ya kutengeneza na kuuza kayoga.Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Maneno huumba panapofuka moshi pameficha moshi ,wakati mwingine vitisho ni uogaNdugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Humo mbona hamna cha kukabili hasa ikizingatiwa kuwa vyama ulivyotaja ima ni mfu au vya mfukoni?Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Umwombe na mungu uwe mzima mana hakuna aijuae kesho yake na kwa chuki hizo sijui kama mungu anapendezwa nazo mtangulizi wako alikua na mengi ya kuwafanyia wapinzani huko wapialiwaahidi watu vitu vingi kumbuka mwandamu anapangu mungu anakamilisha hesabuNdugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Unaonekana umegubikwa na stress za kutosha.Humo mbona hamna cha kukabili hasa ikizingatiwa kuwa vyama ulivyotaja ima ni mfu au vya mfukoni?