CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

Chadema hawana akili

Kashfa hizi za Nassary mkuu.
1: kuhongwa shamba hekari tano kule doli

2: kutumbua mfuko Wa jimbo na kujengea ghorofa momela.

3: kusindwa kumlipa Katibu wake ndonde mshahara.

4: kutafuna Pesa ya visima aliyopewa na ndesamburo kipindi cha kampeni 2012.

5: kusindwa kurejesha mashamba ya valesca na msitu Wa tembo.

6: kuhongwa gari na wazungu aina ya harrier nyeusi

7: kuwadanganya wamasai ngabobo kuwa atawaleta Maji akapotea

8: kuwekewea millioni mia nane kwenye akaunti na chama cha wazungu waishio Meru wenye mashamba

Yote haya wana Meru wasindwe kufanya maamuzi magumu mwakani 2015
 
point of correction...kabla ya uchaguz huu CHADEMA tulikua tunaongoza vitongoji 6 ktk kata ya USA-RIVER
 
Ukiona chizi kaanza kujitambua jua kaanza kupona...hata saa mbovu kun a muda inasema ukweli.Ila sijakuelewa ujipange wewe na nani ilhali wezi wenzio mlokuwa nao CCM wameshakimbia hilo genge umebakia mjinga peke yako!.
 
Ukiona chizi kaanza kujitambua jua kaanza kupona...hata saa mbovu kun a muda inasema ukweli.Ila sijakuelewa ujipange wewe na nani ilhali wezi wenzio mlokuwa nao CCM

wameshakimbia hilo genge umebakia mjinga peke yako!.

Umedhihirisha upumbavu wako Leo. Comment ya kijinga sana kwa mwaka huu wananchi wanajua akili za viongozi kama ninyi mlioko chadema wangelia sana.
 
Kashfa hizi za Nassary mkuu.
1: kuhongwa shamba hekari tano kule doli

2: kutumbua mfuko Wa jimbo na kujengea ghorofa momela.

3: kusindwa kumlipa Katibu wake ndonde mshahara.

4: kutafuna Pesa ya visima aliyopewa na ndesamburo kipindi cha kampeni 2012.

5: kusindwa kurejesha mashamba ya valesca na msitu Wa tembo.

6: kuhongwa gari na wazungu aina ya harrier nyeusi

7: kuwadanganya wamasai ngabobo kuwa atawaleta Maji akapotea

8: kuwekewea millioni mia nane kwenye akaunti na chama cha wazungu waishio Meru wenye mashamba

Yote haya wana Meru wasindwe kufanya maamuzi magumu mwakani 2015

1: vijiji Ccm- 56
Chadema-34

2: vitongoji Ccm - 217
Chadema- 115
 
Umedhihirisha upumbavu wako Leo. Comment ya kijinga sana kwa mwaka huu wananchi wanajua akili za viongozi kama ninyi mlioko chadema wangelia sana.
Afadhali upumbavu wangu kudhihirika leo kuliko wewe ushetani na upumbavu wako ulitabirika hata hujazaliwa.Namshukuru aliyekuzaa kwani usingezaliwa angepata madhara hata kansa ya kizazi.Wewe ni sumu mbaya kuliko polonium au Cyanide.Niondolee uchuro.Wewe ndo Nepi Nahawuuye alisema mnasubiria kufa!
 
Lichaga la huru utalijua akili Zao zinaongozwa na wake Zao zaidi
 
Kashfa hizi za Nassary mkuu.
1: kuhongwa shamba hekari tano kule doli

2: kutumbua mfuko Wa jimbo na kujengea ghorofa momela.

3: kusindwa kumlipa Katibu wake ndonde mshahara.

4: kutafuna Pesa ya visima aliyopewa na ndesamburo kipindi cha kampeni 2012.

5: kusindwa kurejesha mashamba ya valesca na msitu Wa tembo.

6: kuhongwa gari na wazungu aina ya harrier nyeusi

7: kuwadanganya wamasai ngabobo kuwa atawaleta Maji akapotea

8: kuwekewea millioni mia nane kwenye akaunti na chama cha wazungu waishio Meru wenye mashamba

Yote haya wana Meru wasindwe kufanya maamuzi magumu mwakani 2015

Shida ni moja nyinyi ccm na wapenzi wake ni mabingwa wa siasa za majitaka, ila kama unachosema ni kweli tutafuatilia na tukijua basi tunampiga Nassary chini tunamuweka mwingine lakini mshindi lazima atoke hukohuko cdm.
 
Daniel Pallangyo mchumi Wa chama rafiki Yangu sana kwake kwenye kata yake hawa mapimbi ya chadema wamebeba Viti vyote vijiji na vitongoji.

Ila naamini hatujachelewa kabisa mwakani nasary lazima kitu cha ncha kali kinamjia

Daaah nimeshtukia nacheka kwa saut saana mpaka wenzangu wakanishangaaa.
Jaman chadema ni Baba laoooo,
 
Nadhani bado Arumeru Mashariki mnahitaji kuvuta soxy zaidi.Viti mlivyowaachia hawa wanaEscrow bado ni vingi sana !
 
Kashfa hizi za Nassary mkuu.
1: kuhongwa shamba hekari tano kule doli

2: kutumbua mfuko Wa jimbo na kujengea ghorofa momela.

3: kusindwa kumlipa Katibu wake ndonde mshahara.

4: kutafuna Pesa ya visima aliyopewa na ndesamburo kipindi cha kampeni 2012.

5: kusindwa kurejesha mashamba ya valesca na msitu Wa tembo.

6: kuhongwa gari na wazungu aina ya harrier nyeusi

7: kuwadanganya wamasai ngabobo kuwa atawaleta Maji akapotea

8: kuwekewea millioni mia nane kwenye akaunti na chama cha wazungu waishio Meru wenye mashamba

Yote haya wana Meru wasindwe kufanya maamuzi magumu mwakani 2015
Duhh kumbe!!! je nawale wanaotoa rasilimali za nchi kwakuhongwa net za mbu tuendelee kuwachagua sio???????
 
Shida ni moja nyinyi ccm na wapenzi wake ni mabingwa wa siasa za majitaka, ila kama unachosema ni kweli tutafuatilia na tukijua basi tunampiga Nassary chini tunamuweka mwingine lakini mshindi lazima atoke hukohuko cdm.
Usiteme big g kwa karanga za kuonjeshwa ndugu, huyo jamaa akili yake imeganda kama thelugi ya ule mlima jirani yake, haoni wala hawazi ufisadi wa chama chake cha ukoo wa panya. anamuwaza Nasary tuu.
 
Mkuu njoo hapa sinza kumekucha bar ya mwika napata mturaaa hapa Mara baadaya ya kampeni nzito

Asante sana Mkuu Dah! Nimeikosa ofa ya mtura cpo jijini. Ila mbio alizowapa dogo janjjanjahitaji Mtura na loshoroo baridiii
 
Haya matokeo ni changamoto kubwa kwa CCM,ile dhana ya kuongoza imebaki mikononi mwa wananchi na wamewaonesha mfano tu kuwa hakuna kinachoshindikana wakitaka kufanya mabadiliko,zile kebehi na kujisifia kuwa chama kitabaki kuongoza zinaonekana hazina mashiko tena bali wanahitajika kufanya nguvu ya ziada kurudisha imani ya watanzania iliyopotea kitu ambacho mpaka sasa wamekwishachelewa maana chama kimechafuka kila mahali na hakuna aliye na uwezo wa kukisafisha.
Nitashangaa sana kuona mwana CCM anayeshangilia kuwa kashinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom