CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

Wadau nawasalimu sana.

Ccm ni chama makini na chenye dola na wananchi Wa Meru mashariki wametupa ushindi ambao nitauita ushindi mwembamba kwa minajili ya matokeo yote yaliyohesabiwa kwa kuona kuna dalili ambazo inionyesha kuna kazi ngumu mwakani katika uchaguzi mkuu 2015.


Mosi nimesema hayo kutokana Nami nilikuwepo kwenye kila ziara za chama na kujionea mwenyewe changamoto tunazopata hasa kwa kundi la vijana ambao wanaonyesha dalili za kutupinga na kuonyesha ishara ya vidole viwili kila pahala.

Bundi ametua mtini kwa haya matokeo chini:

1: vijiji Ccm- 56
Chadema-34

2: vitongoji Ccm - 217
Chadema- 115

Nb: ikumbukwe kuwa chadema hawakuwa na kijiji na kitongoji hata kimoja.

Natoa ushauri kwa timu yote ya kamati ya siasa Meru tusikate Tamaa wala kurudi nyuma mwakani nia ya kumuondoa huyu nassary ipo pale pale

Nawasilisha tujipange kimakakati

Angalau leo umekuwa mkweli na uwaambie magamba wote hadi gamba la magogoni kuwa inakula kwenu vizuri
 
Lichaga la huru utalijua akili Zao zinaongozwa na wake Zao zaidi
Mbona unawadharau wanawake ilhali ww umeolewa na mwanamke,wachaga wa HURU ni wepi ?This is the main problem for the man with unpaired chromosomes.For the male to be in heat its very abnormal.Thanks and :A S-rap:you idiot.
 
Mkuu laki si Pesa nakupongeza sana kwa kuona hilo haya machadema hayana akili kabisa hata ya ziada.

Tupo kwenye uchaguzi wa marudio. Kitongoji
cha shuleni, kijiji cha Imbaseni kata ya Maji
ya Chai.
Uchaguzi hapa haukufanyika, karatasi
zilikosewa.
Mpaka sasa tunahesabu kura, tayari tunazo
zaidi ya Mia wakati ccm wana Kama 50
mkononi. Hiki ndo kitongoji na kijiji
anachotoka katibu wa fedha na Uchumi wa
ccm Wilaya ya meru wakili dr Daniel
pallangyo.
 
Haa haa waambie chama chako wazidi kuandaa mabilioni ya pesa kwa kukwapua, ili kusudi mwakani wawanue wagombea wa cdm na nyingine kuwawekea mapingamizi wagombea wa upinzani. Hiyo ndo janja pekee ya ccm iliyobaki.
 
Nb: ikumbukwe kuwa chadema hawakuwa na kijiji na kitongoji hata kimoja.

Natoa ushauri kwa timu yote ya kamati ya siasa Meru tusikate Tamaa wala kurudi nyuma mwakani nia ya kumuondoa huyu nassary ipo pale pale

Nawasilisha tujipange kimakakati


attachment.php


Acha ucheshi mkuu. Mwenyekiti wenu alishachanganya na zake kitambo.
Soma hapa.
 
Mtungi umetoboka... unazidi kuvuja... dawa sio kuziba ukiwa una maji hayo yaliyobakia... mimineni maji mzibe kwanza. Mtateka mengine...
 
ili ujue ni chama kipi kinaelekea shimoni, wewe angalia ni chama gani kimepoteza viti na chama gani kimeongeza viti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom