CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

Watamtafuta mchawi hawatamwona, ukweli ni kwamba wamechuja

Uzuri,mchawi wanamjua vyema ,lakini hawataki kumtoa...na kwao bila huyo mchawi hakuna maisha watakufa.
 
Sana tu, na teknolojia tushaijua kabla ya uandikishwaji kuanza hachakachuliwi mtu hapa. Expiry date ya CCM ilikuwa 2010 sasa hivi wapo way overdue watu wanatumia bidhaa iliyokwisha muda wa matumizi

Unajua CCM uwezo wa kuchakachua ni pale waliojiandikisha wakiwa wengi halafu wapiga kura ni wachache ,pale ndipo mzizi unapoanzanzia
 
Kwani sio kweli kuwa nasary anahongwa maviwanja na wazungu Wa doli,anatumbua mfuko Wa jimbo, amehongwa gari aina ya harrier . Wanameru nimewadharau pamoja na matuhuma yote haya bado wanaipigia chadema kura

Una a ski majinuni wewe..
Babako ndiyo alimuhonga?
Hivyo viwanja vyote anavyopambania virudi si ni ccm ndiyo walivigawa...
Tafuta mume akuweke ndani utulie....
 
Ungeongeza na jitihada alizofanya za kuwapatia maji ya bomba wananchi wa maeneo mbalimbali ambao hawakuwahi kuwa na maji hayo kwa kipindi cha miaka 50 iliyopita.Ungeongeza pia na Ofisi ya mbunge inayofanya kazi badala ya ile iliyokuwa imetanda buibui na haikuwahi kuhudumia hata makada km wewe licha ya wananchi wa kawaida.Nassary amekuwa akitoa mawazo chanya kwenye vikao vya Halmashauri,ila midiwani yenu ikiongozwa na Mang'unde imekuwa ikipinga bila sababu ya msingi.Siko tayari kuliona jimbo la arumeru mashariki likirudi kwa manyang'au ccm.Na kwa hivyo basi,Mungu akitupa Uhai,nakuja meru mwakani kuidelete kabisa ccm,nitahakikisha madiwani wote wanatoka CDM,na km Nassari tu anawapelekesha hivyo,Mungu asaidie nije huko maana mziki wangu ni zaidi yake,lazima mkae.Msalimu Dr.Daniel Pallangyo,wakili msomi na Lecturer wangu enzi hizo

Hahahahahah umenichekesha sana, nimemuona daktari wakili msomi kavaa gamba nikamwonea huruma. Nilimwambia wazi tu anisamehe mimi nina mzio [alergy] na Magamba. CCM kwishney..dogo janja tunachimba wote barabara, mifereji mitaro na vikao vyote vya kimila yupo. Dogo ametetea wakulima wasiporwe mashamba yao na SERIKALI YA MAGAMBA mambwa yanayokula bila kujali watoto...sheytwani hao hatuwataki. Hakyamama nakuja rasmi kukampaign kwa nguvu kabisa. CCM sasa baaaaas
 
Huyo wakili msomi nadhani ni mmoja ya wale Warioba aliowaita CCM Maslahi!Ila inamdhalilusha sana.Bibi yangu mwenye miaka 120 sasa alinionya sana kutokuongozwa na tumbo,akasisitiza niongozwe na kichwa.Sasa huyu Lecturer wangu cjui vp tena.Anyway,Magamba wamekalia kuti kavu,na juna haja ya kuanza kuweka strategy mapema sana kuhusu namna ya kuikamata Halmashauri. Tuonane mwakani
 
Kwani sio kweli kuwa nasary anahongwa maviwanja na wazungu Wa doli,anatumbua mfuko Wa jimbo, amehongwa gari aina ya harrier . Wanameru nimewadharau pamoja na matuhuma yote haya bado wanaipigia chadema kura

Hivi mbunge anaweza kushindwa kununua Harrier? Kama kuhongwa wat wanapiga 1.6B huko Tegeta! Anyway, habari hizo sizijui kwa hiyo nisizisemee ila nisemee ukweli kuwa hapo CCM mnajipa moyo tu. Kwa matokeo haya, ipo dalili mbaya kwenu 2015.
 
CCM itaendelea kushinda daima, Kura za CDM ni za mhemko tu, ila wananchi wakija tuliza akili watawasahau hao jamaa, bado hakuna mbadala wa CCM.
 
Ccm mnajuwa kabisa vijana wengi hawakupiga kura kutokana na mda mdogo mliyo uweka sasa subirini dawa ina chemka lazima ccm itokomezwe
 
CCM itaendelea kushinda daima, Kura za CDM ni za mhemko tu, ila wananchi wakija tuliza akili watawasahau hao jamaa, bado hakuna mbadala wa CCM.

Unajidanganya sana. na ni huo ujinga na kiburi cha kukaa mdarakani muda mrefu kinachowafanya mjisahau na kujiona kuwa chama 'default' kwa wananchi. Mtaji wenu daima umekuwa ujinga wa wapiga kura lakini kumbuka kuwa mjinga siku zote akipewa elimu ujinga wake humtoka. Kwa hiyo mlijenga nyumba juu ya mchanga mkajaa upumbavu na kushupaa, mkawa mafisadi na wenye kiburi kwa kuamini kuwa nchi hii hakuna mtanzania atakayethubutu kuinyima kura CCM. Mkatapanya raslimali za Taifa na kuzidi kuwafanya watanzania kuwa maskini mkiamini kuwa 'as long as' wanaendelea kuwa maskini, basi khanga zenu, kofia zenu na sahani zenu za ubwabwa zitatosha kununua kura siku zote. Lakini mkae chonjo, hakuna mjinga wa kudumu. Ninayo imani dalili mnaziona japo kama kawaida yenu, mnajitoa ufahamu na kushupaa mkijifariji kuwa '...ni upepo, utapita tu!'
 
Ccm ni chama makini na chenye dola na wananchi Wa Meru mashariki wametupa ushindi ambao nitauita ushindi mwembamba

Kwa kauli yako hapo juu. Nyie mlikuwa mnashindania nini wakati mlikuwa mnavihodhi? je nyie mmeshinda au mmeshindwa? yaani mtu achukue kitu chako halafu useme umeshinda, hiyo akili matope. Hapo anayepaswa kusema ameshinda ni yule ambaye hakuwa nacho wewe unapaswa kusema umepoteza.

Nadhani mbongo yako iko na shida
 
Ungeongeza na jitihada alizofanya za kuwapatia maji ya bomba wananchi wa maeneo mbalimbali ambao hawakuwahi kuwa na maji hayo kwa kipindi cha miaka 50 iliyopita.Ungeongeza pia na Ofisi ya mbunge inayofanya kazi badala ya ile iliyokuwa imetanda buibui na haikuwahi kuhudumia hata makada km wewe licha ya wananchi wa kawaida.Nassary amekuwa akitoa mawazo chanya kwenye vikao vya Halmashauri,ila midiwani yenu ikiongozwa na Mang'unde imekuwa ikipinga bila sababu ya msingi.Siko tayari kuliona jimbo la arumeru mashariki likirudi kwa manyang'au ccm.Na kwa hivyo basi,Mungu akitupa Uhai,nakuja meru mwakani kuidelete kabisa ccm,nitahakikisha madiwani wote wanatoka CDM,na km Nassari tu anawapelekesha hivyo,Mungu asaidie nije huko maana mziki wangu ni zaidi yake,lazima mkae.Msalimu Dr.Daniel Pallangyo,wakili msomi na Lecturer wangu enzi hizo

Daniel Pallangyo mchumi Wa chama rafiki Yangu sana kwake kwenye kata yake hawa mapimbi ya chadema wamebeba Viti vyote vijiji na vitongoji.

Ila naamini hatujachelewa kabisa mwakani nasary lazima kitu cha ncha kali kinamjia
 
Kutoka 0 hadi Vijiji 34 na vitongoji 217 bado unaota kama mwakani utamtoa Nassari?Arumeru Mashariki itaongoza Halmashauri mwakani kwa kupata madiwani wengi!

Huku wenzako Kyela isha maliza kazi
 
Daniel Pallangyo mchumi Wa chama rafiki Yangu sana kwake kwenye kata yake hawa mapimbi ya chadema wamebeba Viti vyote vijiji na vitongoji.

Ila naamini hatujachelewa kabisa mwakani nasary lazima kitu cha ncha kali kinamjia

Kwa kitu cha ncha kali mtakuwa mmeupiga mzinga wa nyuki jiwe na kukimbia hamuwezi.Guess what will happen!Ulishawahi tapika asali wewe wakati hata kuila hujaila?
 
Wadau nawasalimu sana.

Ccm ni chama makini na chenye dola na wananchi Wa Meru mashariki wametupa ushindi ambao nitauita ushindi mwembamba kwa minajili ya matokeo yote yaliyohesabiwa kwa kuona kuna dalili ambazo inionyesha kuna kazi ngumu mwakani katika uchaguzi mkuu 2015.

Mosi nimesema hayo kutokana Nami nilikuwepo kwenye kila ziara za chama na kujionea mwenyewe changamoto tunazopata hasa kwa kundi la vijana ambao wanaonyesha dalili za kutupinga na kuonyesha ishara ya vidole viwili kila pahala.

Bundi ametua mtini kwa haya matokeo chini:

1: vijiji Ccm- 56
Chadema-34

2: vitongoji Ccm - 217
Chadema- 115

Nb: ikumbukwe kuwa chadema hawakuwa na kijiji na kitongoji hata kimoja.

Natoa ushauri kwa timu yote ya kamati ya siasa Meru tusikate Tamaa wala kurudi nyuma mwakani nia ya kumuondoa huyu nassary ipo pale pale

Nawasilisha tujipange kimakakati

Siamini kama kwenye jimbo la dogo jinga nassary Chadema wamepata vijiji na vitongoji vingi hivyo.. CCM tuna kazi nzito sana ya kufanya
 
Jipe moyo nasary tutamngoa kwa nguvu zote hata kwa fimbo ya Chuma.

Sasa nadhani mtagundua kwamba ni vizuri kuwapa watu elimu na sio ule ujinga mliokuwa mnajisifia eti watu wajenge ofisi. Watu wenye akili timamu wamejua kipaombele sio ofisi bali ni elimu kichwani kwanza mambo ya majengo yataufata. Nyinyi mna ofisi nyingi na nyingi ya hizo mlipora baada ya mfumo wa chama kimoja ambazo zilijengwa na nguvu ya umma. Mbona panazidi kupungua wanachama? Sasa kipi bora majengo au elimu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom