CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

Si nilisikia CDM Arumeru inakata roho,sasa imefufufka lini?Duh,haya ndiyo matatizo ya kumdanganya Prof wa Kichina.

Tehe tehe CDM ife? hawa wazee wa 7,000 wanamdanganya sana Professeri wa kichina na yeye hajiulizi, 2015 tutaheshimiana tu
 
Attachments

  • IMG_5575381930629.jpeg
    IMG_5575381930629.jpeg
    16.9 KB · Views: 162
Wadau nawasalimu sana.

Ccm ni chama makini na chenye dola na wananchi Wa Meru mashariki wametupa ushindi ambao nitauita ushindi mwembamba kwa minajili ya matokeo yote yaliyohesabiwa kwa kuona kuna dalili ambazo inionyesha kuna kazi ngumu mwakani katika uchaguzi mkuu 2015.

Mosi nimesema hayo kutokana Nami nilikuwepo kwenye kila ziara za chama na kujionea mwenyewe changamoto tunazopata hasa kwa kundi la vijana ambao wanaonyesha dalili za kutupinga na kuonyesha ishara ya vidole viwili kila pahala.

Bundi ametua mtini kwa haya matokeo chini:

1: vijiji Ccm- 56
Chadema-34

2: vitongoji Ccm - 217
Chadema- 115

Nb: ikumbukwe kuwa chadema hawakuwa na kijiji na kitongoji hata kimoja.

Natoa ushauri kwa timu yote ya kamati ya siasa Meru tusikate Tamaa wala kurudi nyuma mwakani nia ya kumuondoa huyu nassary ipo pale pale

Nawasilisha tujipange kimakakati

Mkuu Mmaranguoriginal hizo ishara za nyakati nafikiri unawafahamu wameru vizuri pale palewanapo hamua lao pia ni wakati wa kutafakari kama huyo mgombea wako atatoboa.Josh kawakimbiza sana sasa wwapatieni wananchi maji wacheni siasa
 
Kwani sio kweli kuwa nasary anahongwa maviwanja na wazungu Wa doli,anatumbua mfuko Wa jimbo, amehongwa gari aina ya harrier . Wanameru nimewadharau pamoja na matuhuma yote haya bado wanaipigia chadema kura

kaka......mbona unatoa ....... point less siasa zimekushindaaa.........
 
Tehe tehe CDM ife? hawa wazee wa 7,000 wanamdanganya sana Professeri wa kichina na yeye hajiulizi, 2015 tutaheshimiana tu

Wajua mtu anapoapa na kuapa kuwa CDM imekufa halafu inaibuka kidedea kwenye chaguzi za mitaa,lazima tujiulize,hawa CDM wamefufuka au?
 
Kwani sio kweli kuwa nasary anahongwa maviwanja na wazungu Wa doli,anatumbua mfuko Wa jimbo, amehongwa gari aina ya harrier . Wanameru nimewadharau pamoja na matuhuma yote haya bado wanaipigia chadema kura

Watu tunashangaa,Arumeru imekuwaje? Yaani,pamoja na wananchi kuchangishwa ujenzi wa maabara huku tani tano za noti zikichotwa na wana escrow CCM bado wameipa viti?
 
Mkuu Mmaranguoriginal hizo ishara za nyakati nafikiri unawafahamu wameru vizuri pale palewanapo hamua lao pia ni wakati wa kutafakari kama huyo mgombea wako atatoboa.Josh kawakimbiza sana sasa wwapatieni wananchi maji wacheni siasa

Mkuu kwa dalili hizi nitapeleka hoja binafsi kumsimamisha KIJANA KWENYE UBUNGE naye ni best Yangu Julius Mungure mneck Wa Meru
 
Wadau nawasalimu sana.

Ccm ni chama makini na chenye dola na wananchi Wa Meru mashariki wametupa ushindi ambao nitauita ushindi mwembamba kwa minajili ya matokeo yote yaliyohesabiwa kwa kuona kuna dalili ambazo inionyesha kuna kazi ngumu mwakani katika uchaguzi mkuu 2015.

Mosi nimesema hayo kutokana Nami nilikuwepo kwenye kila ziara za chama na kujionea mwenyewe changamoto tunazopata hasa kwa kundi la vijana ambao wanaonyesha dalili za kutupinga na kuonyesha ishara ya vidole viwili kila pahala.

Bundi ametua mtini kwa haya matokeo chini:

1: vijiji Ccm- 56
Chadema-34

2: vitongoji Ccm - 217
Chadema- 115

Nb: ikumbukwe kuwa chadema hawakuwa na kijiji na kitongoji hata kimoja.

Natoa ushauri kwa timu yote ya kamati ya siasa Meru tusikate Tamaa wala kurudi nyuma mwakani nia ya kumuondoa huyu nassary ipo pale pale

Nawasilisha tujipange kimakakati

Huu ni uchanga wa kila siku upinzani wa nchi huu huwa mnautoa wapi? Miaka 22 sasa le gademu mburulaz bado mnshangilia kushindwa maza fantazzz. Kila siku huwa mnaambiwa uchaguzi sio cumulative ndio maana Kikwete aliposhinda 80% 2005 hakusikia mtu anadai kuwa atafikisha 100% 2010. Kila uchaguzi unajitegemea na unategemea circumstances za kipindi hicho.
Sasa badala ya kudanganyana waambieni ukweli watendaji wenu wamewaangusha, na ikibidi muwawajibishe kisha mjipange upya wallah CCM inaweza kuondoka na wala haitokuwa ajabu kabisa.
 
Na hii nimeikuta Facebook. Hongera Dogo Janja Nassari

Diwani wa kata ya Maji ya Chai Ndg Loti Nnko ameanguka baada ya kushindwa uenyekiti wa kijiji cha Ngongongare alichogombea mwenyewe kwenye kata yake ya Maji ya Chai. Tumeshinda vijiji vyote 7 kwenye kata hii.
Sasa Diwani unashindwa hata uenyekiti wa kijiji unasubiri nini kwenye kata??

Dondoo Muhimu.

Kijiji cha Samaria Anakotoka katibu wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Langael Akyoo CHADEMA imeshinda kijiji na vitongoji vyote.

Kata ya na Kijiji anakotoka katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Aenea Kitomari CHADEMA imeshinda vijiji vyote vitatu na vitongoji vyote.

Kata ya maji ya chai anakotoka katibu wa fedha na uchumi wa ccm Wilaya Wakili Daniel Pallangyo a Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya Meru mhe. Frida Kaaya CHADEMA imeshinda vijiji vyote.

TULIANZA NA MUNGU, tutamaliza na Mungu.

"IPTL, Bring back our money"
 
Chadema hawana akili

Kashfa hizi za Nassary mkuu.
1: kuhongwa shamba hekari tano kule doli

2: kutumbua mfuko Wa jimbo na kujengea ghorofa momela.

3: kusindwa kumlipa Katibu wake ndonde mshahara.

4: kutafuna Pesa ya visima aliyopewa na ndesamburo kipindi cha kampeni 2012.

5: kusindwa kurejesha mashamba ya valesca na msitu Wa tembo.

6: kuhongwa gari na wazungu aina ya harrier nyeusi

7: kuwadanganya wamasai ngabobo kuwa atawaleta Maji akapotea

8: kuwekewea millioni mia nane kwenye akaunti na chama cha wazungu waishio Meru wenye mashamba

Yote haya wana Meru wasindwe kufanya maamuzi magumu mwakani 2015
 
Daniel Pallangyo mchumi Wa chama rafiki Yangu sana kwake kwenye kata yake hawa mapimbi ya chadema wamebeba Viti vyote vijiji na vitongoji.

Ila naamini hatujachelewa kabisa mwakani nasary lazima kitu cha ncha kali kinamjia

Hahaha anaona aibu kuwa Mwanachama. hajawahi hata siku moja kushuka kwenye gari na kuongea na vijana wale Wa kijiji cha Viwawa au hata wale wanaokuwaga pale barabarani. Mngeshindaje?

CCM Arumeru mashariki pasahauni kabisa.
endeleeni na
1. Kambi zenu (John D, Adv. Pallangyo, Sarakikya etc)
2. Kutisha watu na lile Cruiser lenu lenye vioo vyeusi.
3. Kuwakatia manjiriri wakulima wadogo wadogo wenye kuonekana kuipenda Ukawa.

ardeco imekombolewa bila ya kampeni. Mji mdogo ni Wa kwetu sasa.

Tukutane 2015. Tutaheshimiana tu.
 
Na hii nimeikuta Facebook. Hongera Dogo Janja Nassari

Diwani wa kata ya Maji ya Chai Ndg Loti Nnko ameanguka baada ya kushindwa uenyekiti wa kijiji cha Ngongongare alichogombea mwenyewe kwenye kata yake ya Maji ya Chai. Tumeshinda vijiji vyote 7 kwenye kata hii.
Sasa Diwani unashindwa hata uenyekiti wa kijiji unasubiri nini kwenye kata??

Dondoo Muhimu.

Kijiji cha Samaria Anakotoka katibu wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Langael Akyoo CHADEMA imeshinda kijiji na vitongoji vyote.

Kata ya na Kijiji anakotoka katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Aenea Kitomari CHADEMA imeshinda vijiji vyote vitatu na vitongoji vyote.

Kata ya maji ya chai anakotoka katibu wa fedha na uchumi wa ccm Wilaya Wakili Daniel Pallangyo a Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya Meru mhe. Frida Kaaya CHADEMA imeshinda vijiji vyote.

TULIANZA NA MUNGU, tutamaliza na Mungu.

"IPTL, Bring back our money"

Nimekudharau sana.
 
Kwa hesabu za haraka haraka, ni kwamba kwenye vijiji CCM imeshuka kutoka 100% hadi 62.2%, wakati CDM imepanda kutoka 0% hadi 37.8%. Kwenye vitongoji, CCM imeshuka kutoka 100% hadi 65.4%, wakati CDM imepanda kutoka 0% hadi 34.6%. Sasa hoja hapa si 'bundi kutua kwenye mti' kama mleta mada anavyosema, bali nini kiko nyuma ya hizo takwimu. Nini kimepekea anguko hilo la zaidi ya theluthi moja ya wapiga kura? TAFAKARI!!!!
 
Huu ni uchanga wa kila siku upinzani wa nchi huu huwa mnautoa wapi? Miaka 22 sasa le gademu mburulaz bado mnshangilia kushindwa maza fantazzz. Kila siku huwa mnaambiwa uchaguzi sio cumulative ndio maana Kikwete aliposhinda 80% 2005 hakusikia mtu anadai kuwa atafikisha 100% 2010. Kila uchaguzi unajitegemea na unategemea circumstances za kipindi hicho.
Sasa badala ya kudanganyana waambieni ukweli watendaji wenu wamewaangusha, na ikibidi muwawajibishe kisha mjipange upya wallah CCM inaweza kuondoka na wala haitokuwa ajabu kabisa.

Umetumwa au umejituma mwenyewe . Nimekudharau sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom