Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
Pole sana kamanda
Ccm iko kwenye nn vile[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wewe ni mnafiki. Polepole ni jiniasi anakuzidi sana kiakili na weledi. CCM ipo pahala pazuri sana kuliko kipindi chochote kwa sasa. Kila mwananchi anaelewa umuhimu wa CCM ya sasa. Yaani huku kitaa ni chereko chereko!
Unasema Photoshop hali ya kuwa Mnyeti mwenyewe amekubali kuwa ni ya kweli. Ama kweli wewe ni mpumbavu usiyejielewa.Mtu hata kama humpendi Gambo au Mnyeti huwezi taka mtu ajiuzulu kwa tuhuma za vi photoshop vya kutengeneza kwenye vyoo vya ofisi za chadema Arusha.Ushahidi wa mahakama au takukuru ndio waweza mtia hatiani mtu.Watu wanasema walipewa mamilioni !!! Na watu wengine humu wanasema ndiyo walipewa!! Uliziona hizo pesa wakipewa? Hata hivyo viphoto shop koko vya Lema na Nassari havionyeshi.Watu wanadakia humu walipewa!!!! Gambo and Munyeti are there to stay.Hatoki mtu ng`ooo.CCM tuachieni wenyewe wengine akina team lowasa mlio chadema endeleeni na yenu.Kama mnataka kurudi CCm rudini tu lakini mambo ya photoshop za chadema waacheni wenyewe.ya ngoswe mwachie ngoswe.
Kwa taarifa yako genius wa kijamaa hawezi pima hata na taahira wa kibepari. The less ujamaa kichwani the more smart your in crucial situations. Ukiona hivyo ujue polepole ndie shida, ukiona hata mwana ccm wa kawaida najiuliza maswali ya msingi ktk issue fulani ujue kimenuka.YAANI ANASEMA HII MBAYA.Wewe ni mnafiki. Polepole ni jiniasi anakuzidi sana kiakili na weledi. CCM ipo pahala pazuri sana kuliko kipindi chochote kwa sasa. Kila mwananchi anaelewa umuhimu wa CCM ya sasa. Yaani huku kitaa ni chereko chereko!
Cocochannel where are you? I miss you so much, come baby, come please.
Today Jf is so cool, I'm here waiting for you baby mwaaah.
CCM ina taratibu zake za kuwatambua na kuwashughulikia wala Rushwa na watoa Rushwa...baada ya kuchunguza na kubaini.
Kama huamini hilo muulize yuke mgombea wenu wa Urais atakueleza
Kosa la jinai halijui kam ni issue yako na mkeo na watoto wako.Hii ni jinai. Mbaya zaidi inahusisha chama pinzani .Sio rahisi shahidi wote kuwa upande mmoja kinyume na jamhuri.CCM ina taratibu zake za kuwatambua na kuwashughulikia wala Rushwa na watoa Rushwa...baada ya kuchunguza na kubaini.
Kama huamini hilo muulize yuke mgombea wenu wa Urais atakueleza
CCM inachosha mkuu. Hadi kuna watu walijitoa mhanga kuipigania wewe wakiamini ipo siku itakuwa nzuri na mfano.Ila njiani wengu WAKAPATA CLICK KTK KICHWA NA KUJIULIZA NAFANYA NINI ZAIDI YA KUJILISHA UJINGA HAPA.Ndio km hawa jamaa .huyu jamaa sikuwahi muona km ana huruma na wananchi ila andiko lake makini kajipanga hata ktk uandishi.Ni ngumu mtu kwa akili zake za kawaida kuamua kuhamia CCM,.... Na kwanini Arusha tu, kwani madiwani wa Kusini na kanda ya Kati hawajaoa hiko kinachofanywa na JPM, kwanini Arusha tu!?
Niliwahi waambia ccm wengi kuwa mpinzani kushinda mahali lazima awe kichwa kweli.Bado huwa wanafanya mizaha sana kuwa akina Lema ni wajinga.Arusha haijawahi kuwa Raisi kwa CCM
Umeruka mstari.KUIBA HELA YA UMMA, KUVUNJA SIO TUU SHERIA ILA KATIBA KWA KUTOA AJIRA KWA MISINGI YA ITIKADI ZA KISIASA. Hivi hata kazi za umma vilaza wa ccm wanadhani ni zao za kuhongea?Ndio maana jamaa ni jinga kabisa ktk huo mjadala. dogo kaliweza kalipandishia dau, likaanz ajiuma uma midomo halijui lipate wapi pesa.Aibu gani? Kushawishi ni aibu? Mbona Lissu alimshiwishi Nape kuhama na kuingia chadema? Lobing hipo kite.
Usijali hii ishu ya Arusha wapo wataalamu wa kukusafisheni, Nasikia tayari umefanyika uwekezaji wa kutosha kwa Jery Muro, James Saimon Massawe na wadau kadhaa.Sijui GENTAMYCINE nitaficha wapi Mimi ' aibu ' hii ya Arusha!