CCM aibu hii ya Arusha ibebeni wenyewe Mimi simo

CCM aibu hii ya Arusha ibebeni wenyewe Mimi simo

Mtu hata kama humpebndi gambo au mnyeti huwezi taka mtu ajiuzulu kwa tuhuma za vi photoshop vya kutengeneza kwenye vyoo vya ofisi za chadema Arusha.Ushahidi wa mahakama au takukuru ndio waweza mtia hatiani mtu.Watu wanasema walipewa mamilioni !!! Na watu wengine humu wanasema ndiyo walipewa!! Uliziona hizo pesa wakipewa? Hata hivyo viphoto shop koko vya Lema na Nassari havionyeshi.Watu wanadakia humu walipewa!!!! Gambo and Munyeti are there to stay.Hatoki mtu ng`ooo.CCM tuachieni wenyewe wengine akina team lowasa mlio chadema endeleeni na yenu.Kama mnataka kurudi CCm rudini tu lakini mambo ya photoshop za chadema waacheni wenyewe.ya ngoswe mwachie ngoswe.

Hivi wakati Mwenyezi Mungu anatupa Sisi wengine hizi ' akili nyingi ' Wewe ulikuwa unakunya au unatawaza Chooni hadi ukazikosa?
 
Ni ngumu mtu kwa akili zake za kawaida kuamua kuhamia CCM,.... Na kwanini Arusha tu, kwani madiwani wa Kusini na kanda ya Kati hawajaoa hiko kinachofanywa na JPM, kwanini Arusha tu!?
 
Daah GENTAMYCINE umeongea ukweli. Lakini huyo mwenyekiti wenu hashauriki na ndo maana kuna haya mambo yanayoendelea. Anajiona ana akili kuliko mtanzania yeyote.. Hapo ndio anapokosea. Siku mukulu akikubali kushauriwa na siku watanzania tutapoacha unafiki kama GENTAMYCINE alivyo basi tutapiga hatua kubwa ya maendeleo..
 
Ni ngumu mtu kwa akili zake za kawaida kuamua kuhamia CCM,.... Na kwanini Arusha tu, kwani madiwani wa Kusini na kanda ya Kati hawajaoa hiko kinachofanywa na JPM, kwanini Arusha tu!?
Lakini pia CDM arusha nawalaumu piaaa
Watapitishaje madiwan wasio na Wito?
 
Mtu hata kama humpendi Gambo au Mnyeti huwezi taka mtu ajiuzulu kwa tuhuma za vi photoshop vya kutengeneza kwenye vyoo vya ofisi za chadema Arusha.Ushahidi wa mahakama au takukuru ndio waweza mtia hatiani mtu.Watu wanasema walipewa mamilioni !!! Na watu wengine humu wanasema ndiyo walipewa!! Uliziona hizo pesa wakipewa? Hata hivyo viphoto shop koko vya Lema na Nassari havionyeshi.Watu wanadakia humu walipewa!!!! Gambo and Munyeti are there to stay.Hatoki mtu ng`ooo.CCM tuachieni wenyewe wengine akina team lowasa mlio chadema endeleeni na yenu.Kama mnataka kurudi CCm rudini tu lakini mambo ya photoshop za chadema waacheni wenyewe.ya ngoswe mwachie ngoswe.
We ubongo wako kama wa kuku. Kama Mnyeti kakili wewe ninani ukanushe. Tatizo mnatuona watanzania kama hausegirls majumbani mwenu
 
Lakini pia CDM arusha nawalaumu piaaa
Watapitishaje madiwan wasio na Wito?
Unajua serikali yetu haikuachi uchague unachotaka... Ninahisi anayekataa hiyo rushwa basi hukumbana na vitisho vya kukupoteza, na ndio maana wanaonyesha vitisho kwa wakubwa ili nawe mdogo uogope... Sio wa kuwalaumu sana, lakini kila ubaya una mwisho... "MWISHO WA UBAYA NI AIBU"
 
Unajua serikali yetu haikuachi uchague unachotaka... Ninahisi anayekataa hiyo rushwa basi hukumbana na vitisho vya kukupoteza, na ndio maana wanaonyesha vitisho kwa wakubwa ili nawe mdogo uogope... Sio wa kuwalaumu sana, lakini kila ubaya una mwisho... "MWISHO WA UBAYA NI AIBU"
Umenena na yuleee aliyekuwa ana hofia maslah ya shule yqke
Lakin tufanyaje tukomeshe hayo?!
 
Wewe ni mnafiki. Polepole ni jiniasi anakuzidi sana kiakili na weledi. CCM ipo pahala pazuri sana kuliko kipindi chochote kwa sasa. Kila mwananchi anaelewa umuhimu wa CCM ya sasa. Yaani huku kitaa ni chereko chereko!

acha umajununi mkuu
 
Back
Top Bottom