CCM acheni utapeli kupitia TV, inatia kinyaa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,041
Reaction score
134,315
Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.

Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’

MAONI YANGU

Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa

Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
 
Mzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii
 
Sijaona hoja yako kwa kuwa kama anaenda kukabidhiwa ujue hakuna mgombea mwenza,yeye kosa lake lipi,watu bwana mara ooh JPM hatakuwa mwenyekiti,sasa anataka kukabidhiwa tena tena filimbi zinaanza hamna jema wanadamu acha akabidhiwe aweke mambo sawa na hapo ndo upinzani,wa bila sera bali kuishi kufuata upepo wa kimatukio utakwisha.
 
Sio vyema kuingilia Demikrasia yetu tunaenda kukabidhi chama kwa JPM kama utamaduni wetu ulivyo na sio lazima katiba iseme hivyo. Utamaduni unakubalika katika kuamua mambo.
 
Povu la nini! Mbona upande wa pili lini mara ya mwisho mmefanya uchaguzi? Kwa katiba ipi iliyompa nafasi MR NYEUPE kuwa KIONGOZI MKUU WA GENGE LENU? Sasa hivi Mzee wa kubadilishia GIA ANGANI anahaha! anajuta kumfahamu NYEUPE!
 
Kwa hivo Magufuli anaenda kushindana na kivuli chake??
Hivi lile zoezi la kuchukua na kurudisha fomu lilianza na kukamilika lini mkuu??
Huku kwetu TV zimepigwa marufuku eti ni uchochezi.
 
Hebu fanyeni hivyo hivyo na ninyi mbona
Mmenga'ang'ania Mbowe kama mungu vile
 
Mzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii
Sidhani kama unaelewa ulichokiandika.
Sijaona hoja yako kwa kuwa kama anaenda kukabidhiwa ujue hakuna mgombea mwenza,yeye kosa lake lipi,watu bwana mara ooh JPM hatakuwa mwenyekiti,sasa anataka kukabidhiwa tena tena filimbi zinaanza hamna jema wanadamu acha akabidhiwe aweke mambo sawa na hapo ndo upinzani,wa bila sera bali kuishi kufuata upepo wa kimatukio utakwisha.
Kazi ya Magufuli ni kuwatumikia Watanzania na siyo ccm, wapuuzi wengi kama wewe hili hamlijuhi, ndio maana anaomba Watanzania wamuombee na siyo wanaccm wamuombee.

Ni mtu dhaifu peke yake hapa duniani ndio uhogopa upinzani, ukiona shabiki wa Simba anaombea Yanga ife au kinyume chake huyo ni wa kupimwa akili.
Sio vyema kuingilia Demikrasia yetu tunaenda kukabidhi chama kwa JPM kama utamaduni wetu ulivyo na sio lazima katiba iseme hivyo. Utamaduni unakubalika katika kuamua mambo.
Wewe ni mwehu, katiba ndio sheria mama dunia nzima, watu makini tunapenda ccm iwe imara ili siku vyombo vya dola vikikubali kuheshimu maamuzi ya wapiga kura basi ningependa nione ccm kikiwa ni chama cha upinzani imara na kisigeuke kuwa historia kama KANU.
Tupe Kwanzaa utaratibu mliotumia kumchagua mamvii ili tuamin unayonena maana hatuwezi kuusema ubaya wa mtu bila kujua uzuri wa mwngne upoje
Lowasa alichukuwa fomu kama taratibu zinavyomtaka.
Povu la nini! Mbona upande wa pili lini mara ya mwisho mmefanya uchaguzi? Kwa katiba ipi iliyompa nafasi MR NYEUPE kuwa KIONGOZI MKUU WA GENGE LENU? Sasa hivi Mzee wa kubadilishia GIA ANGANI anahaha! anajuta kumfahamu NYEUPE!
Badly hakuna ulijuwalo, CUF wapo kwenye uchaguzi na fomu zipo wazi kwa wanachama wote wenye sifa kuchukuwa fomu kugombea uenyekiti.

Je una lingine?
 
Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.

Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’

MAONI YANGU

Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa

Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?

Demokrasia kwa ccm ni kubalishana sura za kusimama mbele ya usukani na kuendesha mambo yao. Lakini hiyo Demokrasia siyo uhuru wa watu kuchagua wanataka nani awaongoze na awaongoze kufanya nini. Unon watu kama kina Kolimba wlaiotaka kuzungumzia mabadiliko ya contents and quality za chama walikoishia. Unaoona vile ambavyo ccm sasa wanavyowindana kwa kila hali ili kuhakikisha hakuna mtu anayekuja na swala la demokrasia ya kugombea vyeo. Ndani ya ccm ni utemi wa kuteuana tu, kinyume na katiba yao.

Vita ya ccm si ya kitoto, hawakosanagi wakaachana salama. Hilo sahau. Mafia mafia na ndiyo sababu wanakwenda kama minyumbu na misukule, kwa kuogoga yanayoweza kuwapata.

Hili dude wewe kaa nao mbali. Ni laana ya Tanzania.
 
Sio vyema kuingilia Demikrasia yetu tunaenda kukabidhi chama kwa JPM kama utamaduni wetu ulivyo na sio lazima katiba iseme hivyo. Utamaduni unakubalika katika kuamua mambo.
Kama swala la utamaduni linakubalika, sioni umuhimu WA katiba ya chama, bora kungekuwa na utaratibu WA kugawa form ili watu wapige kura ya ndio kwa ukunjufu...
 
Kuna chama nchini kinajiita cha kidemokrasia kikiwa na katiba inayotaka yeyote anayetaka kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye urais ni lazima awe amekitumikia kwa mda fulani lakini October 2015 maajabu ya Demokrasia yalitokea. Sekunde tu, ilitosha kubatilisha vifungu vya katiba na kumpata mgombea kwa usajiri wenye maajabu endapo ingekuwa kwenye soka, mchezaji alijinunua kwa dau kubwa!
 
Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.

Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’

MAONI YANGU

Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa

Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Najiuliza andiko lako limeegemea kwenye ulinganifu gani, yaani comparison ili kuja na maoni yako.
Zito Kabwe alitaka kugombea uenyekiti chadema, akaonekana ni threat! akafukuzwa.
hicyo hivo kwa Chacha wangwe alivyoonyesha kutaka mabadiliko ndani ya chadema akafanyiwa ndivyo sivyo.
haya kina Mwigamba na prof Kitila Mkumbo nao walivyokuwa wanataka mabadiliko tuliyokuwa tunayahubiri wakaoneka hatari kwa chama. wakafukuzwa. sielewi andiko lako mzee embu jipange vizuri. otherwise ushabiki wa kijinga kama huu hatuukubali.
 
Ni kama Gorbachev alivyokabidhiwa chama cha kikomunisti cha urusi na akakiua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom