Sidhani kama unaelewa ulichokiandika.
Kazi ya Magufuli ni kuwatumikia Watanzania na siyo ccm, wapuuzi wengi kama wewe hili hamlijuhi, ndio maana anaomba Watanzania wamuombee na siyo wanaccm wamuombee.
Ni mtu dhaifu peke yake hapa duniani ndio uhogopa upinzani, ukiona shabiki wa Simba anaombea Yanga ife au kinyume chake huyo ni wa kupimwa akili.
Wewe ni mwehu, katiba ndio sheria mama dunia nzima, watu makini tunapenda ccm iwe imara ili siku vyombo vya dola vikikubali kuheshimu maamuzi ya wapiga kura basi ningependa nione ccm kikiwa ni chama cha upinzani imara na kisigeuke kuwa historia kama KANU.
Lowasa alichukuwa fomu kama taratibu zinavyomtaka.
Badly hakuna ulijuwalo, CUF wapo kwenye uchaguzi na fomu zipo wazi kwa wanachama wote wenye sifa kuchukuwa fomu kugombea uenyekiti.
Je una lingine?