Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Anzisha thread ya mamvi hii ni ya CCMKwan uchaguzi wa mwisho uliofanyika chadema mbowe alikua anashindana na nani?

Tatizo lao uchaguzi kwao no tendo wanalolifanyaga kwa kulazimishwa tu. Hawapendi kabisa uchaguzi hawa viumbe
Unashindwa kuwa mkweli nikusahihishe bratha " i hate ccm i hate magufuli and i hate what they will bring vry simple"Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’
MAONI YANGU
Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa
Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Povu la nini! Mbona upande wa pili lini mara ya mwisho mmefanya uchaguzi? Kwa katiba ipi iliyompa nafasi MR NYEUPE kuwa KIONGOZI MKUU WA GENGE LENU? Sasa hivi Mzee wa kubadilishia GIA ANGANI anahaha! anajuta kumfahamu NYEUPE!
Kwani haswa wewe tatizo lako nini mpaka unakaukwa na mate,utapata kichomi bure,tuache na mambo yetu mkuu subirini kupokea mafisadiTangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’
MAONI YANGU
Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa
Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Umenena vema kabisa, kweli ni utamaduni kama ilivyokuwa enzi ya Nyerere kugpmbea urais na kivuli. Ulichokosea hapo ni hilo neno DEMIKRASIA tu, mengine yote sawa kabisa mkuu!!Sio vyema kuingilia Demikrasia yetu tunaenda kukabidhi chama kwa JPM kama utamaduni wetu ulivyo na sio lazima katiba iseme hivyo. Utamaduni unakubalika katika kuamua mambo.
Hapana kuna tatizo kubwa ndani ya CCM. Watu ni waoga kupita kiasi. Chama makini hakiwezi kukiuka katiba kwa kisingizio cha utamaduni wetu. Katiba ni moyo wa taasisi yoyote inayoongozwa na Katiba. Huwezi kusema unamkabidhi mtu Chama bila kutoa haki kwa wanachama wengine wenye uwezo wa kukiongoza Chama nao kuomba ridhaa hiyo.Sio vyema kuingilia Demikrasia yetu tunaenda kukabidhi chama kwa JPM kama utamaduni wetu ulivyo na sio lazima katiba iseme hivyo. Utamaduni unakubalika katika kuamua mambo.
JPM alishachaguliwa uenyekiti wa ccm tangu siku alipowagalagaza wagombe wote wa ccm july 2015 wakati aliposhinda ticket ya kuwakilisha chama hicho uchaguzi mkuu uliopita. Alijihakikishia zaidi baada ya kushinda urais wa JMT. Kinachoenda kufanyika DOM ni kuunda timu yake ya sekretatieti ya chama basi. CCM kila baada ya miaka 10 m/kiti mpya. Vyama vingine wenyeviti wao ni wa kudumu. Linganisheni kabla ya kuanzisha upupu.Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’
MAONI YANGU
Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa
Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Hili swali lako zuri sana, ungewauliza Chadema siku wanabadili gia angani na kuuza chama.Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’
MAONI YANGU
Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa
Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
alimshinda Kansar Mbaruku wa Tabora,Kwan uchaguzi wa mwisho uliofanyika chadema mbowe alikua anashindana na nani?
na wewe siku mwenyekiti wako wa ufipa akabidhi chama tuone..Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’
MAONI YANGU
Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa
Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
CCM ni ulaghai na ulaghai ni CCM. Utapeli ni kawaida yao. Ndiyo fahari yao.Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’
MAONI YANGU
Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa
Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Cha msingi katiba ya ccm ibadilishwe na itamke waziwazi kwa atakayechaguliwa kuwa Rais toka ccm ndiye mwenyekiti wa taifa wa chama kuliko kutumia pesa nyingi kwenda kushuhudia watu wakikabidhiana uongozi.Mzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii
[emoji113] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Tatizo lao uchaguzi kwao no tendo wanalolifanyaga kwa kulazimishwa tu. Hawapendi kabisa uchaguzi hawa viumbe
Ccm wach...... TuMzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii
Na pesa yake!Hivi mzee Lowasa alishindanishwa na nani?