CCM acheni utapeli kupitia TV, inatia kinyaa

Mzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii
[emoji15] [emoji15] , itakuaje akipgiwa kura ya apana.. na kama ni hvyo, kwnn wanashnikiza kua UCHWAR* lazma apwe uenyekiti na mbali zaidi wana toa vitisho kwa wajumbe wasio mtaka na kuwaita wahujumu.!? Nijibu plzz
 
Tupe Kwanzaa utaratibu mliotumia kumchagua mamvii ili tuamin unayonena maana hatuwezi kuusema ubaya wa mtu bila kujua uzuri wa mwngne upoje
Hakuna njia ilkuwa kupangua gia kwa kuondoa uvundo ccm. Ni kama vile uwezavyo kufanya wakati nyoka yupo chumbani mwako. Hutafikiria usalama wa vyombo vyako.
 
Mambo ya CCM yanakuhusu nini, kufuatilia jambo lisilo kuhusu inakusaidiana, wewe Chadema, na umejivika upofu kwa Chadema, huna ujasiri kwa Chama chako unachokipenda ata kukikosoa inapoenda vibaya, sijakuona ukikosoa Demokrasia iliompatia nafasi Lowasa kua mgombea Urais, sijaona ukikosoa Kigezo gani kilifanya kumteua Mbowe kua kiongozi wa upinzani Bungeni..

Kazi yenu kupiga vigelegele tu kila mnaloambiwa..

Kumbuka CCM watapiga kura siku ya Tarehe 23 tena za siri, kukubali au kukataa, Kanuni ya Demokrasia wengi wape. Kama za kukubali zitakua nyingi wengi watashinda.

Mambo ya CCM hayakuhusu, tuachie wenyewe, nyie imarisheni Chama chenu, naona sasa hivi Lowasa amekua kiongozi mkuu wa Chama, sijui nani kamchagua, anamfunika Sumaye..

Maana kama uzoefu wa Uongozi anao Sumaye, Waziri mkuu miaka 10.. Ila kipa umbele amepewa Edo
 
Sidhani kama unaelewa ulichokiandika.

Kazi ya Magufuli ni kuwatumikia Watanzania na siyo ccm, wapuuzi wengi kama wewe hili hamlijuhi, ndio maana anaomba Watanzania wamuombee na siyo wanaccm wamuombee.

Ni mtu dhaifu peke yake hapa duniani ndio uhogopa upinzani, ukiona shabiki wa Simba anaombea Yanga ife au kinyume chake huyo ni wa kupimwa akili.

Wewe ni mwehu, katiba ndio sheria mama dunia nzima, watu makini tunapenda ccm iwe imara ili siku vyombo vya dola vikikubali kuheshimu maamuzi ya wapiga kura basi ningependa nione ccm kikiwa ni chama cha upinzani imara na kisigeuke kuwa historia kama KANU.

Lowasa alichukuwa fomu kama taratibu zinavyomtaka.

Badly hakuna ulijuwalo, CUF wapo kwenye uchaguzi na fomu zipo wazi kwa wanachama wote wenye sifa kuchukuwa fomu kugombea uenyekiti.

Je una lingine?
Kwani uchaguzi unaofanyika huko dodoma ni uchaguzi mkuu wa Taifa au ni uchaguzi wa chama??

Kama ni wachama kwanini unaamua kwa makusudi kuwa bias??
Ulitaka CCM wachaguliwe na nani mtu wao?? Maamuzi ya wana CCM kujichagulia kiongozi wa chama chao yanakukereketa nini??

CUF wanategemea kuwa na uchaguzi mkuu wa chama very soon, je are u going to be vocal and critical as the way you are right now??

Usilazimishe chuki kwenye kila kitu..
BTW chuki haina faida.. the last i checked ni hasara tupu..
 
Mzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii

Ulitolewa muda wa kuckuwa form za kugombe ili kujiridhisha kuwa ni mgombea pekee????? Je! mkabidiwa chama alichukuwa form akajaza na kuzirudisha?????? Au viongozi upendekezwa tu na kamati kuu basi. Kama ni hivyo hiyo demokrasia tunayoitiwa Dodoma iko wapi?????????????????????
 
Wajameni yaani alipo sema kinyaa nalijua wameonyesha Mav* kumbe tangayo la mkutano haya tapikaga mwenyewe sisi wazazi hatunagakinyaa na mav ya watoto wetu
 
Kwani uchaguzi unaofanyika huko dodoma ni uchaguzi mkuu wa Taifa au ni uchaguzi wa chama??

Kama ni wachama kwanini unaamua kwa makusudi kuwa bias??
Ulitaka CCM wachaguliwe na nani mtu wao?? Maamuzi ya wana CCM kujichagulia kiongozi wa chama chao yanakukereketa nini??

CUF wanategemea kuwa na uchaguzi mkuu wa chama very soon, je are u going to be vocal and critical as the way you are right now??

Usilazimishe chuki kwenye kila kitu..
BTW chuki haina faida.. the last i checked ni hasara tupu..
Huelewi unachokiandika unaropoka, wanaccm hawajapewa nafasi ya kuchaguwa mwenyekiti.

Au wewe nikuulize ni lini Magufuli ameomba kugombea uenyekiti wa ccm? Vitu vidogo tu kama hivi usipovielewa basi wewe ni sifuri kabisa.

Siku atatokekea mtu makini kwenye chama chenu aliyechoshwa na tabia hizi za kisanii na atakwenda kuchalenge maamuzi ya viongozi kupindisha katiba na kama Mahakama zitaachiwa uhuru wake ndio siku wanaccm mtafushishwa katiba ya chama chenu inasemaje.

Bado hamjachelewa katiba siyo msahafu, badilisheni katiba yenu na muingize kipengere cha sifa za kuwa mwenyekiti wa ccm ni lazima uwe Rais wa Jamhuri na nafasi hiyo haitogombewa na mwanachama mwingine.

Mbona ni jambo rahisi tu kuliko huu ulaghai muufanyao sasa.
 
unapozungumzia democracy ina maana pana sana democracy si kupiga kura tu ni hata makubaliano ya wengi pia ni democracy vilevile sasa wanachoenda kufanya ccm dodoma ni democracy ya makubaliano au utamaduni wao kama walivyofanya chadema mlimani city kumchagua lowassa ile ni democracy japo kwenye katiba ya chama hakuna kitu kama kile hata ww kuanzisha thread hapa pia ni democracy kuna mfano leo england inaongozwa na wazir mkuu ambae HAJAPIGIWA KURA BALI KATEULIWA HYO NAYO NI DEMOCRACY
 
Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.

Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’

MAONI YANGU

Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa

Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Hivi Mbowe alishindanishwa na nani chadema? Hivi Lowassa alishindanishwa na nani chadema? Hivi Maalim Seif anashindanishwa na nani cuf? Acheni akili ya Panzi
 
Kitendo cha kukubari kuachia uenyekiti wa Chama hata kabla ya Muda husika ni democrasia kubwa sana JK sio Mbowe na CCM sio CHADOMO
 
Huelewi unachokiandika unaropoka, wanaccm hawajapewa nafasi ya kuchaguwa mwenyekiti.

Au wewe nikuulize ni lini Magufuli ameomba kugombea uenyekiti wa ccm? Vitu vidogo tu kama hivi usipovielewa basi wewe ni sifuri kabisa.

Siku atatokekea mtu makini kwenye chama chenu aliyechoshwa na tabia hizi za kisanii na atakwenda kuchalenge maamuzi ya viongozi kupindisha katiba na kama Mahakama zitaachiwa uhuru wake ndio siku wanaccm mtafushishwa katiba ya chama chenu inasemaje.

Bado hamjachelewa katiba siyo msahafu, badilisheni katiba yenu na muingize kipengere cha sifa za kuwa mwenyekiti wa ccm ni lazima uwe Rais wa Jamhuri na nafasi hiyo haitogombewa na mwanachama mwingine.

Mbona ni jambo rahisi tu kuliko huu ulaghai muufanyao sasa.
Poole kwa kukerwa na pilipili ya shamba..

Ungetoa boriti jichoni kwako kwanza ndipo uone kibanzi kwa mwenzio..

Jazba na chuki huondoa busara..
Na ww vyote hivyo vimekujaa.. nirudie tena kukupa pole..

Ushauri wa bure tu kwako ni kwamba waache wana CCM wajiamulie yao..
Utaratibu wa kujipatia viongozi wao upo miaka nenda rudi tangu kuasisiwa kwa chama chao..
povu linalokutoka pasipo sababu ya msingi.. pole..
 
Mzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii
Hiyo ni danganya toto. Wimbo uliko ni kwamba Kikwete anakwenda kumkabidhi huo uenyekiti kama ilivyo desturi. Acha hadaa.
 
Lowassa alishindanishwa na nani kupata nafasi ya kugombea urais ndani ya CHADOMO na ukawa?
Chuo gani ulichopitia ambacho kilikufundisha badala ya kujibu hoja unaanzisha hoja kinzani? Huu ni utetezi wa ukila.za.
 
Mleta mada, kwani CCM wameenda kinyume na katiba yao?
 
Hivi Mbowe alishindanishwa na nani chadema? Hivi Lowassa alishindanishwa na nani chadema? Hivi Maalim Seif anashindanishwa na nani cuf? Acheni akili ya Panzi
Usizungumzie kushindanishwa, hoja unayotakiwa uijibu na utuambie ni lini magufuli alichukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ya uenyekiti na kuirudisha? hao wote unaotaka kuringanisha na hicho mnachokifanya huwa wanachukua fomu na kuzirudisha na pia matangazo ya uchaguzi utolewa kwa watu kutakiwa kuchukua fomu, sasa kwa CCM hayo ufanyika?
 
Chuo gani ulichopitia ambacho kilikufundisha badala ya kujibu hoja unaanzisha hoja kinzani? Huu ni utetezi wa ukila.za.
Kwani ww ni chuo kipi ulichopitia kilichokufundisha kuandika majibu na hoja dhaifu??
Poole kwa kukerwa na pilipili ya shamba..

Ungetoa boriti jichoni kwako kwanza ndipo uone kibanzi kwa mwenzio..

Jazba na chuki huondoa busara..
Na ww vyote hivyo vimekujaa.. nirudie tena kukupa pole..

Ushauri wa bure tu kwako ni kwamba waache wana CCM wajiamulie yao..
Utaratibu wa kujipatia viongozi wao upo miaka nenda rudi tangu kuasisiwa kwa chama chao..
povu linalokutoka pasipo sababu ya msingi.. pole..
 
Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.

Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’

MAONI YANGU

Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa

Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Kwahiyo ule uchaguzi wa chadema uliopita Mbowe nae alikabidhiwa au siyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom