mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Membe akigombea kupitia Chadema kweli ntakubali lile jina la TANAPA linatuhusu.Kariakoo zimetapakaa hizi shati ni balaa ! cha kushangaza vijana wanazivaa bila hata kuogopa kutekwa !
Membe akigombea kupitia Chadema kweli ntakubali lile jina la TANAPA linatuhusu.Kariakoo zimetapakaa hizi shati ni balaa ! cha kushangaza vijana wanazivaa bila hata kuogopa kutekwa !
kumbuka ziwa tuna share na wengine vipi kule kwingine nako ?
Mkuu contact za huu mchuchu kama unazo tafadhali nirushie😋
Kuna mtu atakufa kwa pureshaKariakoo zimetapakaa hizi shati ni balaa ! cha kushangaza vijana wanazivaa bila hata kuogopa kutekwa !
Wakimpenda zaidi anaibuliwa mwingine fasta, safari hii atajibebaNyie ndo mtasababisha waanze kumfanyia mizengwe au wasiojulikana wampende zaidi mapema
Fake edited!
Ndoto za alinacha2020 Rais Magufuli Toshaaaa
Hapo vip
Na hii hapa chini vipi?
Yote haya kayataka Jiwe na roho yake ya korosho/mbaya, tamaa yake ya kuzitaka pesa za wanyonge wa korosho, imemletea laana kubwa na kumuondolea thamani mbele ya watu wa kanda ya pwani na kusini. Mvua hizi watu wananjaa kweli na korosho zao zinaoza magharani. #MembeRais2020
Watu waliokata tamaa. Membe alishindwa akiwa kabebwa na mwenyekiti wake, zamu hii atawezaje nje ya mbeleko?Halafu sura yake KLM tupu, lkn Kanda ya Ziwa ndo mpango mzima, MZ, KG, TB, Katavi, RK, KGM mpaka sehemu ya SGD ni Magu tu!