CCM 2020: Mambo yazidi kunoga , kipyenga chapulizwa rasmi

KANYAMA

KANYAMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
1,855
Points
2,000
KANYAMA

KANYAMA

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
1,855 2,000
Kama nampa mkeo, nitashindwa kukupa hicho ninachompa mkeo? Sina roho mbaya.
Sihitaji vipumulio vya NYUMBU mie. Peleka UFIPA makaburini mateja huwa wanashughulika na hizo maneno
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
14,721
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
14,721 2,000
Kariakoo zimetapakaa hizi shati ni balaa ! cha kushangaza vijana wanazivaa bila hata kuogopa kutekwa !
Membe akigombea kupitia Chadema kweli ntakubali lile jina la TANAPA linatuhusu.
 
Marashi

Marashi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
1,313
Points
2,000
Marashi

Marashi

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
1,313 2,000
Ya leo kali na ilewesha vilevile
 
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
2,065
Points
2,000
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
2,065 2,000
Nyie ndo mtasababisha waanze kumfanyia mizengwe au wasiojulikana wampende zaidi mapema
Wakimpenda zaidi anaibuliwa mwingine fasta, safari hii atajibeba
 
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
10,429
Points
2,000
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
10,429 2,000
Yote haya kayataka Jiwe na roho yake ya korosho/mbaya, tamaa yake ya kuzitaka pesa za wanyonge wa korosho, imemletea laana kubwa na kumuondolea thamani mbele ya watu wa kanda ya pwani na kusini. Mvua hizi watu wananjaa kweli na korosho zao zinaoza magharani. #MembeRais2020
Unafahamu maana halisi ya maneno LAANA na THAMANI?
 
G

Gagnija

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2006
Messages
7,065
Points
2,000
G

Gagnija

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2006
7,065 2,000
Halafu sura yake KLM tupu, lkn Kanda ya Ziwa ndo mpango mzima, MZ, KG, TB, Katavi, RK, KGM mpaka sehemu ya SGD ni Magu tu!
Watu waliokata tamaa. Membe alishindwa akiwa kabebwa na mwenyekiti wake, zamu hii atawezaje nje ya mbeleko?
 

Forum statistics

Threads 1,304,900
Members 501,583
Posts 31,531,136
Top