CCM 2020: Mambo yazidi kunoga , kipyenga chapulizwa rasmi

kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
6,646
Points
2,000
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
6,646 2,000
Huu upepo wa Membe utaisha soon na mtakuwa mmesahau mambo kama Korosho, data za Uchumi, yanayojiri Bungeni nk Wtz kuchengwa ni rahisi sana.
Yote haya kayataka Jiwe na roho yake ya korosho/mbaya, tamaa yake ya kuzitaka pesa za wanyonge wa korosho, imemletea laana kubwa na kumuondolea thamani mbele ya watu wa kanda ya pwani na kusini. Mvua hizi watu wananjaa kweli na korosho zao zinaoza magharani. #MembeRais2020
 
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2017
Messages
4,904
Points
2,000
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2017
4,904 2,000
Yote haya kayataka Jiwe na roho yake ya korosho/mbaya, tamaa yake ya kuzitaka pesa za wanyonge wa korosho, imemletea laana kubwa na kumuondolea thamani mbele ya watu wa kanda ya pwani na kusini. Mvua hizi watu wananjaa kweli na korosho zao zinaoza magharani. #MembeRais2020
Hata Kanda ya ziwa kavuruga kweli kwenye Samaki hawana hamu
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,237
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,237 2,000
Naona muwa unajaribu kuzamisha meli...teh
 
kapongoliso

kapongoliso

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Messages
1,241
Points
1,250
kapongoliso

kapongoliso

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2011
1,241 1,250
Saa ya ukombozi ni sasa
 
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2017
Messages
4,904
Points
2,000
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2017
4,904 2,000
Huu ndio upinzani tulionao Tanzania. Badala ya kutumia nguvu kubwa kuimarisha vyama vyao wanabaki na siasa za matukio
Watafanyia wapi hali mnawaogopa hadi mikutano yao ya ndani intelligencia ufanya Kazi.Lkn intelligence hio haiwezi kamata wanaojulikana
 
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
1,051
Points
2,000
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
1,051 2,000
Makundi yote Kanda zote kavuruga si ndani si nje,ni matumizi mabaya ya akili Na mda kurudia tena makosa hata Mungu atatulaani
Baadhi ya maeneo kasaidia sababu mambo yalikuwa yanafanyika kwa uharibifu.

Mfano samaki, nadhani kilichofanyika ni sahihi au wewe hauogopi samaki wanaweza isha?
 
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2017
Messages
4,904
Points
2,000
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2017
4,904 2,000
Baadhi ya maeneo kasaidia sababu mambo yalikuwa yanafanyika kwa uharibifu.

Mfano samaki, nadhani kilichofanyika ni sahihi au wewe hauogopi samaki wanaweza isha?
Wasiishe awamu zilizopita waishe awamu hii?Mvuvi hana kosa maana atengenezi nyavu ,wacongo ,wazambia nk walijaza semi zikamwaga Pesa Kwa wavuvi,Leo hazipo sababu ya ushuru komozi faida yote wachukue wao vikwazo kibao
 
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
1,051
Points
2,000
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
1,051 2,000
kumbuka ziwa tuna share na wengine vipi kule kwingine nako ?
Eneo kubwa la ziwa ni letu hivyo sisi ndio tutaathirika zaidi na uharibifu wa aina yoyote ile.

Pili, nadhani, hapa natumia kumbukumbu kidoogo ya ufahamu wangu wa mambo ya ecology. Samaki hawasafiri umbali mrefu sana majini kama inavyoweza kuonekana kwa harakaharaka. Hivyo kuna samaki mule wa Tanzania, wa kenya na wa uganda.

Sasa wao wakivua hovyo hovyo inakula kwao.
 
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
1,051
Points
2,000
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
1,051 2,000
Wasiishe awamu zilizopita waishe awamu hii?Mvuvi hana kosa maana atengenezi nyavu ,wacongo ,wazambia nk walijaza semi zikamwaga Pesa Kwa wavuvi,Leo hazipo sababu ya ushuru komozi faida yote wachukue wao vikwazo kibao
Jinsi watu wanavyokimbilia mijini ndio na mahitaji ya samaki yanavyoongezeka. Population ya pale mwanza imedouble katika kipindi cha miaka ishirini iliyopita. Hii inasababisha tishio la samaki ziwani.
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
19,672
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
19,672 2,000
Ndio maana CCM itaongoza miaka mingi mno! Mnaletewa mtu ili ageuke topic na kusahau focus zenu alafu mwisho hana impact yoyote. Jifunzeni kujitenga na mivurugano ya CCM maana inawatoa kwenye mstari tu. Tukutane after 2020 ndio mtaelewa kama mlivyokuwa wabishi wakati EL anajiunga Chadema na sasa mmeelewa.
Hapo ni Membe anasifiwa au ni watu wanachochea kuni ili kumvuruga jiwe? Sioni uhusiano wa kushindwa wapinzani na huu ushabiki unaoendelea hapa jukwaani. Kwahiyo wapinzani wakishindwa hiyo 2020 itakuwa ni kwakuwa walikuwa wanamjadili Membe huku majukwaani? Kwa hiyo wasipomjadili Membe, 2020 watashinda uchaguzi? Acha hizo boss. Hoja zimekuishia kwa sasa.
 

Forum statistics

Threads 1,304,900
Members 501,583
Posts 31,531,136
Top