Uchaguzi 2020 CCM 2020: Mambo yazidi kunoga, kipyenga chapulizwa rasmi

maneno matupu hayavunji mfupa

View attachment 1101919
Hapo vip
IMG-20190518-WA0013.jpeg
 
Yote haya kayataka Jiwe na roho yake ya korosho/mbaya, tamaa yake ya kuzitaka pesa za wanyonge wa korosho, imemletea laana kubwa na kumuondolea thamani mbele ya watu wa kanda ya pwani na kusini. Mvua hizi watu wananjaa kweli na korosho zao zinaoza magharani. #MembeRais2020

Unafahamu maana halisi ya maneno LAANA na THAMANI?
 
Halafu sura yake KLM tupu, lkn Kanda ya Ziwa ndo mpango mzima, MZ, KG, TB, Katavi, RK, KGM mpaka sehemu ya SGD ni Magu tu!
Watu waliokata tamaa. Membe alishindwa akiwa kabebwa na mwenyekiti wake, zamu hii atawezaje nje ya mbeleko?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom