Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,062
- 18,031
tumeichoka CDM,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa CDM,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? nini hii?? afadhali CCK ije arusha
an ordinary Ritz??there.is must be something wrong with my eyes!Ritz?CCK kama cha cha siasa wana haki ya kuweka mgombea Arumeru, wangekaa meza moja na Chadema waweke mgombea mmoja, kila mmoja akiingia kivyake watagawa kura na hatimaye CCM wanashinda.
an ordinary Ritz??there.is must be something wrong with my eyes!Ritz?
SASA HAPA KISHINDO KIKO WAPI?Baada ya kukamilisha safu ya uongozi wa mkoa wa Arusha,CCK inatangaza rasmi kuwa tunaingia katika uchaguzi mdogo wa Arumeru kwa ajili ya kuchukua jimbo.
Baada ya kukamilisha safu ya uongozi wa mkoa wa Arusha,CCK inatangaza rasmi kuwa tunaingia katika uchaguzi mdogo wa Arumeru kwa ajili ya kuchukua jimbo.
Daaaah! CCK mbona mnaingia msikitini na mguu wa kushoto?..
Kwa mwananchi piga kura nisingetegemea kabisa kukiona chama hiki ktk kushiriki jambo lolote la uchaguzi mdogo isipokuwa kujiandaa ktk kukitangaza na kukiuza chama kwa wananchi.
Kitendo cha kuingia uchaguzi mara tu baada ya kusajiliwa inaonyesha wazi kwamba uongozi wa chama hiki haukujipanga kisiasa kuwakiisha wananchi bali ushabiki wa kuafuta ruzuku za serikali. Kwa maana hii wameingia msikitini na mguu wa kushoto, ibada zao zote zitakuwa batil na mtakuja nambia!...
Hongereni CCK kukamilisha usajili. Wekeni mgombea Arumeru bila kujali siasa uchwara za watu wasiojua siasa wanaodhani kuwa vyama vyao tu ndio vyenye haki ya kuweka wagombea. Wanashindwa kuelewa kuwa CCK inakatiba yake na malengo yake. Wala haikuomba usajili ili isindikize chama fulani. Kazeni buti watanzania wengi hawajui siasa, wamekariri vyama fulani kwa maslahi fulani ama ukanda au udini. Ninaomba msaidie kutupa elimu ya uraia.
kwani nina nini mpenzi wangu?
Mkuu wangu navyokusoma tayari nakuelewa huna tofauti kabisa ni kama viongozi waliopo ama waliopita ambao wanafikiria chama ni NGO au shirika. Na hata iwe hivyo, huwezi kuingia mahala kichwa kichwa kabla hujaweza kujitangaza na kupata support ya wananchi. Niulize mimi kama naweza kukupa kura yangu? jibu likakua hapana na sababu ni kwamba sielewi lolote kuhusiana na CCK zaidi ya katiba na sera zenu. Mkuu wangu unahitaji kuzaa WANACHAMA kwanza kabla ya mjumbe bungeni..Ndiyo maana NEC wametuletea waraka juu ya ratiba ya uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru pamoja na kata nyingine nane za udiwani, tunakwenda kushiriki ili tusimamie maslahi ya jamii na si ruzuku, hatuiwazi hiyo brooo, tutaipinga na kuipinga! Ruzuku ndiyo chanzo cha vyama kubweteka! coome on!
nadhani ulikuwa mmoja wao!
nadhani ulikuwa mmoja wao!
Siyo mmoja wao nilikuwa mkubwa wao wee acha tu! yaliyonikuta usiombe, ni mizinga kwa kwenda mbele, kunibomu vijisenti na vocha, kunilalamikia wake zao wanalala nja hivyo nitume pesa Dar wajue watalalia msosi gani! ilimradi tu karaha na maneno mbofumbofu, si unaona niliwaambia wakinishambulia tu naweka mambo yao yote hapa wakanywea?
Ndg. Paul Mafie, Mimi ndiye Akitanda, nafahamu wewe ulikuwa Mwenyekiti wa Muda Mkoa wa Arusha, na kwa kweli nakuheshimu kwa maana nafahamu mchango wako mkubwa kwa CCJ ambayo ilifutwa. Hivi wewe huamini kama movement huwa zinarithiwa na kufanikiwa? Why not? Kumbuka Mawazo ya Kimapinduzi siko zote hayafi! Tuko front, tunasonga mbele brother!
Mtaji wa chama ni WANACHAMA,huo ubunge ni mavuno baada ya kufanikisha..Hizi ni fikira za kuvuna wakati hujapanda kitu na kama mnafikiria kwenda Arumeru ndiko mtako panda mbegu basi mmekosea sana ni sawa na kupanda mbegu juu ya mwamba.Safi Kamanda wangu, msijali mambo makubwa yanakuja! Kuanzia tarehe 1 Machi tunaanza mikutano ya hadhara kwenye kila mkoa Tanzania, bila kusahau Arumeru, macho na mioyo yetu tunaielekeza huko mpaka kieleweke!
Hv mw/kiti wenu taifa Ni nani? Na inakuwaje mnajitapa kuchukua Arumeru ilhali hata Bendera yenu tu waTZ hawaijui na Kama wapo Ni wachache sana? C ndio NINYI mlotoka ccj? Baada ya kunyimwa usajili mkakimbilia kuanzisha cck? Vp, wenzenu Wana ruzuku NINYI Je? Kampeni mtaendeshaje maana Cku hizi bara bila helkopta hujashinda bado!! MTIHANI, KAZI MNAYO