Bibi Ntilie
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 245
- 8
If CCJ people want to participate in the next GE let them join existing parties. There are 18 parties to join or take over. These people are politically naive my brother.
The easiest way was to take a small party like UMD, JAHAZI ASILIA etc, call the national congress and change the name. They decided to take a long route. Reason? They were not real, they just wanted to threaten their old party CCM so that it accommodates them.
I know the essence of CCJ. I spoke to all people they claim to have especially the ethical elders. These are my wazee and i meet them every weekend. None of them is in CCJ. These guys once upon a time visited some elders, and let the Intelligence system know that, and then declared a party. This CCJ thing is hoax. This CCJ confuses us.
Tupige mstari na kujipanga kwenda mbele. Those in CJJ with liberal minds join CUF, those with conservative minds come CHADEMA, those with socialist orientation join NCCR-M or TLP. Tusipoteze muda, we need more MPs in the house.......
Binti NtilieMheshimiwa Zitto,
Maneno yako yanasikitisha sana. Yanasikitisha kwa sababu inaelekea wanaotakiwa na wenye haki na uwezo wa kuanzisha vyama vya upinzani ni watu wenye majina, wananchi wa kawaida kamwe hawapaswi kufanya hivyo. Ama vyama vya siasa shurti viwe na majina ya wanaojulikana ili vipate uhalali wa kuwa vyama vya siasa!
Hivi wakati nyie waheshimiwa wa CHADEMA na vyama vingine vilivyopo mlipokuwa mnaanzisha vyama vyenu nyote mlikuwa na majina yanayovuma nchini? Zitto si ulianzia chini na labda uwezo wako wa kujieleza Bungeni ndio ukakujengea jina? Sasa umekuwa maarufu unaweza kuongea na wazee kila weekend basi Watanzania wenzio wanaojaribu kutaka kujaribu kama ninyi mlivyojaribu na kushindwa kutupeleka peponi, unawakejeli.
Pia nasikitika kusema kwamba sioni mantiki yoyote ya wewe kuja na maneno kwamba unaongea na baadhi ya the so called wazee kila weekend. So what?
Acheni maneno yenu na kejeli kwa wananchi wenzenu ambao wanaona nchi inavyokwenda kombo na wanajaribu kudhihirisha ukereketwa wao kwa njia ambazo zinaruhusiwa na Katiba ya nchi. Nyie tangu muanzishe vyama vyenu hakuna lolote la maana mnalofanya zaidi ya kuangalia nchi inavyosambaratika.
Mimi ni mstaafu. Nimeishuhudia nchi hii ilivyokuwa ikiendeshwa tangu tupate Uhuru hadi sasa. Huko tuendako siko kabisa kulikodhamiriwa. Sasa labda nikutume ukawaambie hao Wazee unaoongea nao, je wao wanaridhika kuona nchi inavyokwenda? Na kama hawaridhiki wanafanya nini kusaidia nchi irudi kwenye mstari au ndio nao wameishakata tamaa kabisa na wako tayari kuiona nchi inatumbukia shimoni?
Wakati nyie mnaridhika na hali halisi, angalieni mamia kwa maelfu kama si mamilioni ya wananchi wanavyoteseka kutokana na hali ngumu ya maisha kwa sababu tu nyie mmeamua kwamba mnayo haki zaidi ya kuanzisha vyama kuliko wao, wakianzisha wenzenu mko tayari kupiga vita na kukejeli; mnayo haki ya kuwa Wabunge, viongozi n.k. kwa hiyo mnayo haki ya kupata share kubwa ya keki ya taifa wakati wananchi wenzenu wanapata mashahara usiokidhi mahitaji hata ya wiki moja, wanakufa na njaa, hawapati tiba zinazostahili na wala watoto wao hawaendi shule kwa sababu nyinyi ndio mna haki na mnastahili kupata kuliko wao. Aliyesema "mwenye shibe hamjui mwenye njaa" kweli hakukosea!
Niko kwenye 'bedrest' lakini baada ya kusoma madudu humu nimeona nitoe mawazo yangu!!
Binti Ntilie
Sema tu ulikuwa unatafuta sehemu utoe dukuduku lako kwa Zitto kwavile uliyoandika ni tofauti kabisa na post ya Zitto uliyoikopi hayaendani kabisa sasa hao watu wenye majina unaowataja ni akina nani.
Bibi Ntilie
Hivi huwezi kuongea unachotaka bila kumhusisha Zitto unafikiri ukita jina la Zitto ndiyo maneno yako yatakuwa na uzito, kwani Zitto ndiye kaleta matatizo ya watanzania au ndiye kafanya Ccj isisajiliwe, usilie lie sana lia na viongozi uliowachagua tangu enzi za Tanu.

Tatizo la vyama vyetu vya siasa ni kufikiri CCM watakuja kuwapisha madarakani kirahisi. Siasa ni mapambano. CCJ walipaswa kujua kwamba kuna uwezekanao wa kuchezewa shere na wajiandae kuzuia. Hapa tayari mchezo umekwisha. Wanaenda mahakamani, kesi itatajwa Januari 2011, na itaanza kusikilizwa Mei 2011, Halafu?
Halafu wamelipiga mno debe tupo hadi linawatisha washika mpini. Kulikuwa na ubaya gani kufanya haya silently halafu mnaibuka mkishasajiliwa. Sasa mnatisha kabla hamjazaliwa si mnafanya muendelee kubaki mimba, MM hata wewe hii michezo unashindwa kuisoma?
Heshima yangu ilishavunjika zamani toka enzi za wakoloni wewe toa tu ulilonalo moyoni unapoandika post inajibiwa na wote kama ulitaka iwe siri ungem PM Zitto au umpigie simu.Luteni, usitake niseme jambo ambalo linaweza kunifanya nikuvunjie heshima. Nimejibu yale aliyoandika Mheshimiwa Zitto na watu wengine na wala sikuwahi kukutaja kwa jina lako la Luteni. Mzigo uko kichwani wewe jasho lakutokeani? Kwangu mimi Zitto namheshimu kama binadamu mwingine yeyote na wala siwezi nikamheshimu wala kumuogopa kwa cheo chake wala uzito wowote unaodhani anao maana cheo ni dhamana leo atakuwanacho kesho anaweza akawa hana vilevile. Kama anakosea ataambiwa tu na watu wenye uzoefu huo wa enzi za TANU ulizotaja. Usisahau kwamba TANU ndiyo inakufanya wewe utambe kwa kujiita Mtanzania.
Kama huwezi kujadiliana kwa hoja basi bora utulize boli tu, usitake kuwa mpambe wa 'Waheshimiwa' ukidhani watakutupia chochote!
Na hazitatangamana milele ni sawa na mbingu na nchiNow I know!, nimefuatilia response zako nyingi nimegundua kuwa "Lila na Fila hazitangamani"!
Heshima yangu ilishavunjika zamani toka enzi za wakoloni wewe toa tu ulilonalo moyoni unapoandika post inajibiwa na wote kama ulitaka iwe siri ungem PM Zitto au umpigie simu.
Sawa mimi nilikimbia umande kidhungu nitakijulia wapi heri nyie mliofundishwa na wadhungu enzi za ukoloni sisi tumefundishwa na walimu wa voda fasta.Asante. Lakini mimi nadhani husomi posts za watu vizuri ama labda kimobo cha Mheshimiwa Zitto kimekupiga chenga ukakurupuka kujibu bila kuelewa. Wazungu haohao wana usemi "Never argue with...." So, it is not worth it to continue arguing with you Afande Luteni unayetetemekea 'waheshimiwa'!
Na hazitatangamana milele ni sawa na mbingu na nchi
I know what you are looking for let's end here, afterall we are out of the topic which is CCJ kulikoni.There you are!, Good and evil will never mix, but you want us to believe that "Brine" is not "salt"
Mheshimiwa Zitto,
Maneno yako yanasikitisha sana. Yanasikitisha kwa sababu inaelekea wanaotakiwa na wenye haki na uwezo wa kuanzisha vyama vya upinzani ni watu wenye majina, wananchi wa kawaida kamwe hawapaswi kufanya hivyo. Ama vyama vya siasa shurti viwe na majina ya wanaojulikana ili vipate uhalali wa kuwa vyama vya siasa!
Hivi wakati nyie waheshimiwa wa CHADEMA na vyama vingine vilivyopo mlipokuwa mnaanzisha vyama vyenu nyote mlikuwa na majina yanayovuma nchini? Zitto si ulianzia chini na labda uwezo wako wa kujieleza Bungeni ndio ukakujengea jina? Sasa umekuwa maarufu unaweza kuongea na wazee kila weekend basi Watanzania wenzio wanaojaribu kutaka kujaribu kama ninyi mlivyojaribu na kushindwa kutupeleka peponi, unawakejeli.
Pia nasikitika kusema kwamba sioni mantiki yoyote ya wewe kuja na maneno kwamba unaongea na baadhi ya the so called wazee kila weekend. So what?
Acheni maneno yenu na kejeli kwa wananchi wenzenu ambao wanaona nchi inavyokwenda kombo na wanajaribu kudhihirisha ukereketwa wao kwa njia ambazo zinaruhusiwa na Katiba ya nchi. Nyie tangu muanzishe vyama vyenu hakuna lolote la maana mnalofanya zaidi ya kuangalia nchi inavyosambaratika.
Mimi ni mstaafu. Nimeishuhudia nchi hii ilivyokuwa ikiendeshwa tangu tupate Uhuru hadi sasa. Huko tuendako siko kabisa kulikodhamiriwa. Sasa labda nikutume ukawaambie hao Wazee unaoongea nao, je wao wanaridhika kuona nchi inavyokwenda? Na kama hawaridhiki wanafanya nini kusaidia nchi irudi kwenye mstari au ndio nao wameishakata tamaa kabisa na wako tayari kuiona nchi inatumbukia shimoni?
Wakati nyie mnaridhika na hali halisi, angalieni mamia kwa maelfu kama si mamilioni ya wananchi wanavyoteseka kutokana na hali ngumu ya maisha kwa sababu tu nyie mmeamua kwamba mnayo haki zaidi ya kuanzisha vyama kuliko wao, wakianzisha wenzenu mko tayari kupiga vita na kukejeli; mnayo haki ya kuwa Wabunge, viongozi n.k. kwa hiyo mnayo haki ya kupata share kubwa ya keki ya taifa wakati wananchi wenzenu wanapata mashahara usiokidhi mahitaji hata ya wiki moja, wanakufa na njaa, hawapati tiba zinazostahili na wala watoto wao hawaendi shule kwa sababu nyinyi ndio mna haki na mnastahili kupata kuliko wao. Aliyesema "mwenye shibe hamjui mwenye njaa" kweli hakukosea!
Niko kwenye 'bedrest' lakini baada ya kusoma madudu humu nimeona nitoe mawazo yangu!!
Tell that to Luteni....Damn! This is deep...
Brother, ama upo misinformed au deadly wrong. Here CCJ is the problem. They must be smarter and smarter.
Hebu niambie kwa nini Kiyabo hakuwa na kadi yake? Kweli hakuweza hata kupata ushauri kwa wazoefu pale Ufipa street CHADEMA? Ofisi za CCJ na CHADEMA zipo karibu kabisa. Ofisi za CCJ na UDP zipo karibu kabisa, wangeuliza hata.
Tatizo ni CCJ. with media coverage, with support ya watu kama MwanaKijiji walijiona wao ndio upinzani na upinzani ndio wao.
Hata kama watu wanadhani upinzani wa sasa ulikosea mahala fulani,
lakini historia ni funzo nzuri sana. Kuna watu walisajili vyama wakati ambao CCM ilikuwa na nguvu kweli kweli na wakavuka viunzi. CCJ wajifunze kwao.
Nilisoma Katiba ya CCJ, inaeleza imani yangu ya kisiasa kabisa ie Social democracy. Nilikutana mara kwa mara na Mwenyekiti wa CCJ. Nilizungumza na Mpendazoe.
CCJ ndio tatizo. Wajirekebishe
Hujanielewa na kwa kuwa umeshahukumu wala siakusaidia kuelewa. Hapa nimeonesha jinsi vyama makini kama CUF vinavyolinda ngome zao. Niseme tu kuwa, to me CCJ was a threat to CHADEMA and other opposition parties. I better get rid of it. We dont need an emerging party every new election. We need existing parties to consolidate. To me i go for CHADEMA, CUF and NCCR-M and the civil society. New parties? i dont have that luxury
Kiyabo unaamini ana kadi ya unachama wa Dar? na kama alikuwa wa Dar wa tawi ambalo msajili alienda kuhakiki?