Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,347
Are these guys for real or they are just a passing fad? I guess time will tell....
Najua jinsi vyama vingine vilivyotulet down.. this is the best chance we have.. NN kwa muda wote huu umewahi kuniona lini napigia debe chama chochote cha siasa and why this?
Nasubiri kukusikia wewe...
And that's exactly what got me wondering why this one (CCJ)....then some things started running wild in my mind....huko siku za nyuma tumeshawahi kusikia watu wakiunda vyama ili kupata hela za ruzuku n.k....Lakini tusubiri tuone...haitakuwa vyema kuhukumu kabla ya makosa na si busara kuwahukumu hawa kwa makosa ya wengine (vyama vingine)...
Najua jinsi vyama vingine vilivyotulet down.. this is the best chance we have..
Najua jinsi vyama vingine vilivyotulet down.. this is the best chance we have.. NN kwa muda wote huu umewahi kuniona lini napigia debe chama chochote cha siasa and why this?
mkuu,hawa waheshimiwa wa CCJ watapita humu JF kama akina ZITTO na DR SLAA??
mkuu laizma utakuwa unausika na hiki chama pia manake unakipigia debe sana toka mwanzo.nakutakia kila la kheri na mfanikiwe kila mnachopanga.
mualike mmoja wao haje hapa basi kujibu maswali au mapema sana?
Ulizeni tu maswali yoyote ambayo mngependa kupata majibu kuhusu CCJ...
Hadi urudi home au tafuta mtu bongo akuchukulie kadi nadhani itakuwa rahisi. Kumbuka kulipa kadi ya mwanachama kila mwaka!Nataka kujiunga na CCJ ila ninaishi nje ya Tanzania; je ni njia ipi rahisi ya kufanikisha azama yangu hiyo?
CCJ wana tovuti?
Nataka kujiunga na CCJ ila ninaishi nje ya Tanzania; je ni njia ipi rahisi ya kufanikisha azama yangu hiyo?