Hahahahaaa vaa miwani ya mbao utaona
Haya ila majibu utayapata kupitia ℅
good waiting
Jirani habari cha lelo?
mbaya.............
unajua sana .............Mh! pole jirani kulikoni?
Halafu sioni option ya kibox hapo pembeni nataka nikupe taarifa ya kikao cha harusi na no yako ishapotea,,,,ume-block eeh?
kuna nn nimefumba macho........
Mjusi.....
unajua sana .............
nimeblock ahadi zako za kichina yule ng'ombe kumbe miyeyusho tu