catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

Imeisha mbona u still here and nikueleze hizo mambo ni ya karne hiyoooo sahiz ukitaka subiria ungoja saaana babu wee if i want n need kitu i go for it soo ustake kujishangalisha hapa wakt hakuna cha kushangaa

Hadi wewe beibe nasty...Mie ngachoka kuchu.
 
Last edited by a moderator:
Beibe nasty umenistua ujue! Tatizo mi nataka wa peke yangu. Nikiangalia humu naona men karibia wote wana mtu zaidi ya mmoja. Mfano Kaizer yupo na dada gfsonwin ila macho juu juu kwa CUTE na kiroho kinastuka kwa Remmy. Erickb52 ana mijimama yake miwili. Bishanga nae amewajaza kwenye mohamed trans. Babu Asprin anatokeleza jf nzima, yaani kashindikanika mazima (@cacico, BADILI TABIA, The secretary na Kongosho mashahidi hapa). Nikirudi kwa Mentor naona Meritta bado anampenda na sijajua kama King'asti wameachana kweli au wamepeana mapumziko. Najua sharing is caring ila mmmmm (.....). Nimeambiwa kama nataka wa peke yangu labda nimuumbe, so kwa sahv natafuta raw materials.

Shost mi uyo mentor hata simtaki ila nakuonea huruma tu
 
Catheriiine wewe taaafadhali hao ni wale wasiotaka maendeleo huyo merritta asikupe hata chafya my dia hanajipya hapo yupo hajitambui na ndo 99 problems anamsalandia king'ast keshabebwa siku ming huon anajiosha kwa kayzer hapo na kiukweli hapa jukwaan kipenz wanga weng tuu unadhan yan yataka moyo wasubra mamito kama ilivokuwa kwa jg na mim oooh wakazikaanga mbuyu wee but hatmae mi na jg jg na mimi twapendana kufaa pliiiz mentor loves u so much he will actually urs darlin pliz usiniabishe mimi mtu mzima hivii pliiz catherine

Kumpamba uyo kaka yako unajua sana wif yangu wa zamani.
 
Acha hizo we unadhan ungekuwa mpole yangekukuta haya eboo hesma bado ipo na ndo nakwambia salam ntakupa, na kama kubabuka ngoz ubabuke sawa wewe nan wewe tena aaah aaaahaa merrita

umefanikiwa lengo lako
 
eenh saiv naogopa wanaume wenye majina ya utata maana, Mentor kanifanyia umentor, na wewe 99problems dah si itakuwa issue.

Well well jaman kweli kipind chote hiki nilidhan unaelewa mentor ninni kumbe we ulitranslate vingne aiyayaaaa my my ayt mentor ni someone who gives guidance dear so he is my mentor fo real
 
heeh beibe nasty c nlikwambia mim!! bint kagoma!!lol mentor pole mwaya!! catherine umewatenda wenzio au leo unakesha kanisani!!?

Huyu bint ni mtu ambaye hakupuki muache anatafakari princess kutokana na wakaanga sumu walivokua muache tuu afikirie
 
Umeitwa mkapeane maji ! Na migongo kushtuana!
Hii makitu umeandaa a particular or specific niione au?
Btw maji ya bahari hayapimwi kwa kidole ! Somehow!

My jambo kubwa sina hata mshtuko kuhusiana na ym coz mi nimmemjibu tuu kaa rafk baba watoto wangu taafadhali usiende mbali laaziz
 
Back
Top Bottom