catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

na hivi ulikuwa unamnyemelea Catherine, roho inakulipuka, pole mwaya, mzima weye?

Yaani we acha tu.. Catherine alikuwa ameshauteka moyo wangu...akaenda kuutindika kwenye transfoma...halafu sasa alivyo mjanja ili nipagawe zaidi akaiba mafuta ya transfoma ili nife nioze juu yake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom