catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

Beibe nasty umenistua ujue! Tatizo mi nataka wa peke yangu. Nikiangalia humu naona men karibia wote wana mtu zaidi ya mmoja. Mfano Kaizer yupo na dada gfsonwin ila macho juu juu kwa CUTE na kiroho kinastuka kwa Remmy. Erickb52 ana mijimama yake miwili. Bishanga nae amewajaza kwenye mohamed trans. Babu Asprin anatokeleza jf nzima, yaani kashindikanika mazima (cacico, BADILI TABIA, The secretary na Kongosho mashahidi hapa). Nikirudi kwa Mentor naona Meritta bado anampenda na sijajua kama King'asti wameachana kweli au wamepeana mapumziko. Najua sharing is caring ila mmmmm (.....). Nimeambiwa kama nataka wa peke yangu labda nimuumbe, so kwa sahv natafuta raw materials.
Meritta na King'asti....njooni mjibu sasa.
Hun Catherine...am single as single can be..my heart has fallen for u...it goes ting-a-ling-a-ling everytym i c ur posts...please uchukue moyo wangu lau nao upate pumziko...umechoka kuumizwa...dada Roulette anajua nliyopitia mm.
Am nt lyk my grandpa Asprin..au shem zangu Kaizer na Erickb52....
Niko siriaz babes...i love u cate...mwaaah.
 
Last edited by a moderator:
My Wife pole kwa mijuhudi kibwena! Unayomjuhudia my Shem.
Btw mbona naona competition ime'rise up kwa sana?
You got plenties competitors with rivals! How comes?
Contesters are so many?
Kwani what is unconditional love?
Navyojua mie all we need to feel loved ! .
All we think about it !
We hope for it !
We fantasize about it !
And we go to great lengths to achieve it !
Nway we feel that our lives are incoplete without it ! .

Shem wa ukweli....
 
Shem wa ukweli....

So far what about Caty situation? Is she already glanced the roadmap you need to granted her ?
My self i'm just heard some speculation that Caty agreed the propasal, bt tusubiri mwenyewe aseme.
Sitaki kuamini if Caty she w'll be resist the matter on the table!
Quite incredible!
 
Duh!!! Kumbe hadi wanawake siku hizi wanaweza kazi ya kutongozesha na kuwa washenga...!!! Ama kweli dunia imekwisha.
 
Duh!!! Kumbe hadi wanawake siku hizi wanaweza kazi ya kutongozesha na kuwa washenga...!!! Ama kweli dunia imekwisha.

Imeisha mbona u still here and nikueleze hizo mambo ni ya karne hiyoooo sahiz ukitaka subiria ungoja saaana babu wee if i want n need kitu i go for it soo ustake kujishangalisha hapa wakt hakuna cha kushangaa
 
My Wife pole kwa mijuhudi kibwena! Unayomjuhudia my Shem.
Btw mbona naona competition ime'rise up kwa sana?
You got plenties competitors with rivals! How comes?
Contesters are so many?
Kwani what is unconditional love?
Navyojua mie all we need to feel loved ! .
All we think about it !
We hope for it !
We fantasize about it !
And we go to great lengths to achieve it !
Nway we feel that our lives are incoplete without it ! .

Love ur my doc n u knw dat sasa hapa mkeo watu wanchukia bureee coz hata wangekuwa wao wangefanya hivo pale panapowezekana ila sasa nasty mie mekua mbaya kumbe kuna watu hapahapa wantaka bado mentor and kuna ile mijitu inayo meza mate kwa catherine sasa catherine power to u coz kama kulongga nshalonga nasubiria tuu jibu lako hapa na natumai hutoniangusha
 
Jamani acheni makelele tupo kanisani. Catherine keshasema msimamo wake. Ila nina kesi naye
 
Last edited by a moderator:
Na ukuwadi pia wanaweza kudadadadadeki.
ukweli nikwamba kisa tumeweka hapa thrade baasi tunaonekana wabaya naonekana kuwadi ila heri yangu nilietangaza nia on behalf of my lovely broo so cheza na duara lako
 
Jamani acheni makelele tupo kanisani. Catherine keshasema msimamo wake. Ila nina kesi naye

We usiuseme moyo wake we vipi kaa pemben unatukinga na kanisan umeenda fanya nini kujitafutia midhambi tuu hiii nyie watu bana mnachekesha et catherine keshaamua weee tafadhali mumuache mmeshindwa kuniandama mim mnahamia kwa my wii catherine unaona ninavvokupigania wifi taafali hata kama hutaki kujibu hapa basi ni pm tafaadhali hebu ona watu wenye busara zao kama mume wangu judgement anakubembeleza kweli mamiloo say smthn pliiz
 
Last edited by a moderator:
Duh!!! Kumbe hadi wanawake siku hizi wanaweza kazi ya kutongozesha na kuwa washenga...!!! Ama kweli dunia imekwisha.
na hivi ulikuwa unamnyemelea Catherine, roho inakulipuka, pole mwaya, mzima weye?
 
Last edited by a moderator:
We usiuseme moyo wake we vipi kaa pemben unatukinga na kanisan umeenda fanya nini kujitafutia midhambi tuu hiii nyie watu bana mnachekesha et catherine keshaamua weee tafadhali mumuache mmeshindwa kuniandama mim mnahamia kwa my wii catherine unaona ninavvokupigania wifi taafali hata kama hutaki kujibu hapa basi ni pm tafaadhali hebu ona watu wenye busara zao kama mume wangu judgement anakubembeleza kweli mamiloo say smthn pliiz

Mbona maneno mengi ivo? Lol
 
Hahahahah kupiga kimya kimya haiswihi kabisa na unajua ila unamtafutia mdogo wetu Mentor matatizo tu
Hakuna kayzer mentor mwenyewe kanilalamikia sana iknw my bro whe he is inlove so naomben mumuelewe na mie pia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom