catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

Mkuu Judgement...mbona unakua mkali hivyo?

Huo nao ni ukali ? Si normal comments?
Btw people being differ to the respond !
Of course probably ungependa niingie hapa such as a one who come from drinkin' urojo?
Ym , kwa mtiririko wako inaonesha binti umempenda! Refar "maji hayatoshi ....."
kua wazi basi tuangalie aid kukuhusu.
 
Last edited by a moderator:

Msaada wa nin na wewe tangu lin unaanza toa misaada ktk suala hili hasa linihusulo mke wako umekuja kuwaje lovie? Sikuelewi ujue oooho
 
Huyu youngmaster asifanye jahaz lichafuke hapa staki mim staki jaman naomba young ufute kauli zako
 
naona Judgement leo kaamka vibaya...mkuu sorry bwana...mie nilikuwa natania tu...ngoja nikalale nisije ishia kupewa za uso bure.
 
Si umuache atomboke mwenyewe?
 
naona Judgement leo kaamka vibaya...mkuu sorry bwana...mie nilikuwa natania tu...ngoja nikalale nisije ishia kupewa za uso bure.

Mkuu Ym !
Walaaa!
Kwangu mie kutoa hizo za Uso ! Ni nadra sana, kimsingi hadi nifikie huko, basi patakuwepo reasons za msingi pia !
Otherwise hua sikurupuki due related matter.
Stay tune peace with calmy!
 
Last edited by a moderator:
Habari za tangu siku ileee? My wi to be beibe nasty, pole sana naona watu wamekuandama si kidogo. Mentor, mi nataka ndoa staki kuchezewa. Lol!
Will you marry me? Wapendwa wote nawasalimu sana. Muwe na jumatatu njema.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha! Wow! Malavidavi yameanza, uuuuwwwii wapi watu8? Weekend imeanza hebu rudi nyumbani mapema mwenzio umeniacha mpweke!
jamani mupenzi mishe zimekua nyingi nashinda sana maporini, ona sasa nimemiss message yako...tufanye wkend ijayo mupenzi measkron.
 
Last edited by a moderator:
Habari za tangu siku ileee? My wi to be beibe nasty, pole sana naona watu wamekuandama si kidogo. Mentor, mi nataka ndoa staki kuchezewa. Lol!
Will you marry me? Wapendwa wote nawasalimu sana. Muwe na jumatatu njema.

Asante sana my wii yan hujui tuu nilivofurahi kaka kaenda kuriport kazin si unajua alikua safari halaf akaumwa sasa kasema akija tuu anmajibu yako yooote. Kwakuchombeza tuu mi ndo wifi mi ndo staring maadui na adui kuu nishawamaliza my wii we utafurah subiri naenda oga mana ndo naamka hivoo
 
hee beibe nasty bora catherine amekubal!! mentor hongera mwaya angalia huyu usimpoteze kama ulivyo wapoteza wakina meritta!!!! meritta huskii wivu kwe?!!lol
 
Habari za tangu siku ileee? My wi to be beibe nasty, pole sana naona watu wamekuandama si kidogo. Mentor, mi nataka ndoa staki kuchezewa. Lol!
Will you marry me? Wapendwa wote nawasalimu sana. Muwe na jumatatu njema.
Catherine, This is the best news of the day! wow..I love youuuu so much! Yes, I will mary you..no jokes, no games...tupange tu harusi lini...baada ya mfungo ili hata kina Mwali na dadangu AshaDii wawepo nao.
 
Last edited by a moderator:
hee beibe nasty bora catherine amekubal!! mentor hongera mwaya angalia huyu usimpoteze kama ulivyo wapoteza wakina meritta!!!! meritta huskii wivu kwe?!!lol

Mh..meritta alijipoteza bana...alijiona keki kumbe keki yenyewe half-cake...nimepata ndafu na kwake sing'oki tena...i love u Catherine.
 
Last edited by a moderator:
Catherine, This is the best news of the day! wow..I love youuuu so much! Yes, I will mary you..no jokes, no games...tupange tu harusi lini...baada ya mfungo ili hata kina Mwali na dadangu AshaDii wawepo nao.

i love you more my gentleman! Ila baby uwe mwaminifu eeh! Kina Yummy wakikubania kijicho uje uniambie.
Come this way tukazie swaumu. Kuhusu harusi tutafunga hata ndoa ya mkeka kama ya kina naniliu.. Lol
 
Last edited by a moderator:
Mh..meritta alijipoteza bana...alijiona keki kumbe keki yenyewe half-cake...nimepata ndafu na kwake sing'oki tena...i love u Catherine.

mmh baby mbona unamponda x wife wako hivyo! Sio vizuri. Mwambie tu she was there ili akamilishe part of ur life.
 
Last edited by a moderator:
i love you more my gentleman! Ila baby uwe mwaminifu eeh! Kina Yummy wakikubania kijicho uje uniambie.
Come this way tukazie swaumu. Kuhusu harusi tutafunga hata ndoa ya mkeka kama ya kina naniliu.. Lol

Yaaaaani ungejua hapo ndo umenipaisha kabisaaa bandugu....haya Mentor hebu fanya fasta unajua tuna unfinished business, me waiting for u:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
hii . najua utashangaa saana na yawezekana ukawa unahis nataka kukushika ugoni ila laahasha shida yangu kuubwa ni juu ya kaka angu kipenz changu MENtOR amekua mtu ambaye ana raha na ametoka umwa na bado hajarecover sana nikamuuliza kwan vipi kaka akatamka kwa machungu jina lako sa nkasema catherine yupi? Akasema wa chitchat unautesa moyo wake sana anumia anhitaj nafas juu ya hili. Taafaadhali mi ni dada na nina familia yangu ila nimejizatiti kuubeba mzigo huu pliiiz kaka angu ankuhitaji naomba uumpe nafasi tafadhali ye ameenda oga soon atakuja kuthibitisha juu ya hili na usiogope sana kwan kuna kipind si uunajua tena ujana alikua na binti king'ast ndo jina lake lakin kuna tatizo lilitokea hadi likampelekea kaka kuokoka but kaona anhitaji mtoto mzuri ka wewe ,sasa mama naomba nitoe hoja na taarifa juu ya hili.

wako mtiifu Beibe nasty mke wa halali wa judgement

Hahahahaaaaa uwiiiiiii hahahahahaha duuuh hahahaaa Judgement huyu huyu.......LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom