Catherine Magige kutinga ARUSHA leo

theSNOOP

Member
Oct 5, 2012
9
0
mheshimiwa catherine magige atinga arusha leo kwa ndege ya precision air ya saa 5 asubuhi peke yake akafwatwa na dereva wake kwenye airport ya kimataifa ya kilimanjaro(KIA)
 
Mbona hayo ni maisha binafsi ya mtu. Au unataka kutuambia nini usichofafanua? Hata mimi nikisafiri huwa nafatwa na dereva wangu airport. Tatizo nini?
 
Huyu mheshimiwa "the snoop" hii ni post yake ya 3.....yamkini anahitaji muongozo wa spika....:A S embarassed:
 
mheshimiwa catherine magige atinga arusha leo kwa ndege ya precision air ya saa 5 asubuhi peke yake akafwatwa na dereva wake kwenye airport ya kimataifa ya kilimanjaro(KIA)

Mkuu jipange kwanza usikurupuke tu kama ushuzi!
 
mheshimiwa catherine magige atinga arusha leo kwa ndege ya precision air ya saa 5 asubuhi peke yake akafwatwa na dereva wake kwenye airport ya kimataifa ya kilimanjaro(KIA)

unataka apande ngorika kama wewe?by the way mimi huwa napanda ndege toka mwanza kwenda bukoba na ninapokelewa na vijana wangu kama wewe ambao hawana mbele wala nyuma,infakti uckacrike
 
Unataka ku prove nini sijui?Kuwa humu jamvini kazi yetu kufuata maisha binafsi ya watu kasafiri kwenda wapi,kala nini!That is insane to my view!
 
jamaa ni kilaza cha zaidi ni wa ki**ke maana mwanaume harisi huwezi kukaa unafuatilia furani kapanda ndege leo nani kala nini huna kazi za kufanya ila sasa kunaumuhim wa kuprosses jukwaa la watu kama nyie maana mnakera tunataka kucheka sio kujua nani kala nini.
 
sasa yeye kwenda airpot inatuhusu sisi nini? MWONGOZO WA SPIKAAAA. huna akili ndogo bali una akili chache.
:biggrin::biggrin:
 
Back
Top Bottom