Sina labda sijui jinsi ya ku connect na watu. Na sijui naanzaje kuwa na urafiki na mtu. Hapa sizungumzii wale tumekutana tu ofisini. Yaani kwa kifupi sina best friend.Hauna kabisa ZAYO? Sio kwamba unao ila hauna time nao?
Waoh, This is such a wonderful thing to read. Una mwandiko mzurii hadi nimesahau ulikuwa unanipa maoni.I would say "because there aren't that many smart people out there." so your interactions are somewhat limited.
Honestly though....it's not easy being friends with someone you don't have much in common with maana mwisho wa siku unakuwa huna chakuongea nae. Ndo mnaishia na "niambie...niambie" wakati hamna chakuambiana.
I have the same issue and for me this applies to family aswell. It's not that i don't love them or miss them. I might even be thinking about them quite alot but what are we gonna talk about all the time??? The best thing is....my people get me. Kila mtu anafanya mambo yake, siku kukitokea issue ya msingi ya kuongea ama tukikosana sana tunatafutana, tunahang out for a bit then kila mtu anaendelea na mambo yake. If a friendship (any relationship for that matter) is legit...it'll survive a little pause here and there
Kwa upande mwingine...UMRI!! With all the responsibilities that comes with growing up how can we be talking and chatting 24/7??? Like most of us I did my share of that when I was a teen all the way to my early 20s(talking on the phone 'till early mornings, chatting like I worked for MSN back then etc. etc.)....sasa hivi tuwaachie generation Z nao.
Kuhusu kuzaliwa mmoja hapana, sisi tulizaliwa mapacha hivo nilikuwa na mwenzangu.Hali hii husababishwa na vitu vitatu ambavyo nataka Paula Paul uangalie wewe utakua umedondokea kundi gani kati ya haya matatu nitakayoyachambua kulingana na upeo wangu
1.Makuzi yako utotoni
Wakati ukiwa mdogo ulikuwa na kulelewa katika aina gani ya mazingira,kuna wale wamezaliwa mtoto m1 tu kwenye familia then mama na baba wapo busy na mishe zao hivyo kupelekea huyu mtoto kukua ktk hali ya upeke ake peke ake na mwisho anazoea hii hali,na matokeo yake akikua Hawezi dumu na marafiki kamwe.
au mwingine kazaliwa kisha wazazi wake baba na mama wakaachana hivyo mzazi m1 kaamua kumchukua mtoto na kuondoka nae au kumpeleka kwa ndugu,huyu mtoto kwakua tyr kashaelewa haya sio mazingira yangu,lazima atajitenga tenga na mwisho ataanza kuwa pekeake na baadae atazoea maisha hayo,ila effect zinakuja onekana ukubwani,hatoweza dumu na marfiki,mifano ya kundi hili ipo mingi.
2.Waliotendwa/kuumizwa (na marafiki)
Hawa ni wale sio kwamba hawawezi kuwa na marafiki au kudumu nao,hawa ni wale kwanza wanapenda marafiki sana sana ila shida yao ni moja "yalishawakuta" walifanyiwa umafia,au jambo baya lolote kiasi kwamba sasa hivi muda wa kufatana fatana au kuwa intouch saaaana na mtu hawawezi,hujikuta wakikumbuka nyuma na mwisho hujisemea "sihitaji yanikute tena" matokeo yake hushindwa kudumu na marafiki.
ila kutokudumu kwao na marafiki haimaanishi wamewachukia hao wengine hapana,Upendo upo ila wanaishi maisha ya wasi wasi ya kutoamini tena mtu mwngine na effect zake ndio hizo kwenye thread yako Paula Paul (kundi hili ndio lina watu wengi hata kwnye hi thread wengi wanatoka kundi hili.
3.Nature
Hawa ni wale waliozaliwa hivi,ki ufupi ni aina ya watu hat kama wamezaliwa kwenye familia yenye watoto 7,ila yeye ni mt wa kujitenga tenga mkimya mkimya mfata mambo yake,ndugu zake wakicheza game wakibadilishana Pad yeye Hana time na game muda huo,atasubiri wamalize kucheza wakiondoka wote yeye ataenda atashika Pad atacheza mwenyewe au atachagua mtu anaemtaka yeye acheze nae,akimaliza hapo HUYOOO anaondoka zake.
huyu yeye siku zote n mpole mpole,mkimya mkimya,sio kwamba anachuki na wengine Hapana huyu ndio alivyoumbwa,mfano wa huyu mtu ni kama jamaa anaitwa PROFESSOR kwenye season inaitwa MONEY HEIST huyu kiumbe ni mtu wa peke ake pake ake,lipo kama jinga jinga flani,ila Ana upendo wa hali ya Juu kwa wenzake sema ndio huwezi mgundua.(ana akili huyo acha kabisa)
watu wa aina hiii wakiwa watu wazima ndio effect zao huonekana kwasababu hatoweza dumu na rafiki na haoni shida kukaa bila rafik kwasababu ndivyo alivyoumbwa.
Tukirudi kwenye swali lako la Je Ni tatizo au si tatizo?
Jibu nadhani linategemea wewe upo kundi gani hapo juu.
Napenda kuwa rafiki yako, vipi tunaweza kuwa marafiki.Unamwambia napenda kuwa rafiki yako, vipi tunaweza kuwa marafiki?
Tuwe tunaalikana kwenye maombi ya milimani.Napenda kujifunza neno,
[emoji17][emoji21] Lakini kwenye maombi nimekua nyuma sana, nipo nalifanyia kazi jambo hilo.
Eti kufungana mota za kudanga. I laughed so hard.Wala huna tatizo ila tu ni just mood inatokea unataka tu ku mind your own business but by the way you can make a very good patner, navutiwa na wanawake wasiopenda ku cling na mashosti.
Ule unyumbu unyumbu unawapotezaga sana hasa wengi unakuwa ni umoja wa kufungana mota za kudanga na kufanya mambo ya kipuuzi mwisho ni kuzungukana na kusengenyana. Kisha huzaliwa beefs!
Kitu naweza kukushauri control yourself usije uka behave hivyo ukweni ama kwa ndugu za mumeo..Utachukiwa!!!
Why not? Tuanze lini?Napenda kuwa rafiki yako, vipi tunaweza kuwa marafiki.
Sasa hivi rafiki kipenziWhy not? Tuanze lini?
Asante KANA kwa maoni yako.
"Pia kadri unavyokua smart upstairs, ndio unavyozidi kua na marafiki wachache" kwanini?
Sawa rafiki yangu.Sasa hivi rafiki kipenzi
😂😂Umetoa wapi hivi vitu?
Thank you Nowonmai for this post. You are a nice guy.Much of what is called friendship derives from mutual socio- economic dependency.
The more you become socially and economically dependent the less you need friends.
I am afraid to say that getting more smart upstairs is synonymous to increasing intellectual arrogance from the perspective of social acquaintance.
Do you find that you like people and what is more, need them at times? Then get to know them and if they are willing make them your friends.
All you want is the unforgotable bond of friendship between you and them, not constant interaction which nowadays is rare even among family members.
Having said this, I would like you to be my friend Paula. Can me and you be friends? I mean for keeps!
I see.[emoji23][emoji23]
Nimethink deep...
Snitches get stitchesRafiki wengine kama kunguni watakuganda kwa maslai yao na hawatakuachia mpaka wakunyonye damu.
Waswahili wanasema "ni bora uwe na urafiki na mbuzi, unaweza kunywa japo mchuzi".
Siyo kila anayekunja kwenye maisha yako ni lazima kumpokea , maana wengine wapita njia, ni vizuri kuwa makini unapo teua/chagua/pata rafiki,hata yesu alikuwa na marafiki wengi ila ila aliteua first Twelve (12) yake ila bado alitokea Snitch,
By the way mada nzuri P²(Paula Paul)
Faida ya kuwa na mpenzi extrovert ni ipi endapo mimi ni introvert?Wewe umenipita mimi. Kama hata hauwezi kuingia kwenye mahusiano ni hatari.
Inabidi uwe na mpenzi ambaye ni Extrovert ndio mtaendana.
Namba mbili inanihusu kwa kiasi kikubwa japo namba moja nayo imenigusaHali hii husababishwa na vitu vitatu ambavyo nataka Paula Paul uangalie wewe utakua umedondokea kundi gani kati ya haya matatu nitakayoyachambua kulingana na upeo wangu
1.Makuzi yako utotoni
Wakati ukiwa mdogo ulikuwa na kulelewa katika aina gani ya mazingira,kuna wale wamezaliwa mtoto m1 tu kwenye familia then mama na baba wapo busy na mishe zao hivyo kupelekea huyu mtoto kukua ktk hali ya upeke ake peke ake na mwisho anazoea hii hali,na matokeo yake akikua Hawezi dumu na marafiki kamwe.
au mwingine kazaliwa kisha wazazi wake baba na mama wakaachana hivyo mzazi m1 kaamua kumchukua mtoto na kuondoka nae au kumpeleka kwa ndugu,huyu mtoto kwakua tyr kashaelewa haya sio mazingira yangu,lazima atajitenga tenga na mwisho ataanza kuwa pekeake na baadae atazoea maisha hayo,ila effect zinakuja onekana ukubwani,hatoweza dumu na marfiki,mifano ya kundi hili ipo mingi.
2.Waliotendwa/kuumizwa (na marafiki)
Hawa ni wale sio kwamba hawawezi kuwa na marafiki au kudumu nao,hawa ni wale kwanza wanapenda marafiki sana sana ila shida yao ni moja "yalishawakuta" walifanyiwa umafia,au jambo baya lolote kiasi kwamba sasa hivi muda wa kufatana fatana au kuwa intouch saaaana na mtu hawawezi,hujikuta wakikumbuka nyuma na mwisho hujisemea "sihitaji yanikute tena" matokeo yake hushindwa kudumu na marafiki.
ila kutokudumu kwao na marafiki haimaanishi wamewachukia hao wengine hapana,Upendo upo ila wanaishi maisha ya wasi wasi ya kutoamini tena mtu mwngine na effect zake ndio hizo kwenye thread yako Paula Paul (kundi hili ndio lina watu wengi hata kwnye hi thread wengi wanatoka kundi hili.
3.Nature
Hawa ni wale waliozaliwa hivi,ki ufupi ni aina ya watu hat kama wamezaliwa kwenye familia yenye watoto 7,ila yeye ni mt wa kujitenga tenga mkimya mkimya mfata mambo yake,ndugu zake wakicheza game wakibadilishana Pad yeye Hana time na game muda huo,atasubiri wamalize kucheza wakiondoka wote yeye ataenda atashika Pad atacheza mwenyewe au atachagua mtu anaemtaka yeye acheze nae,akimaliza hapo HUYOOO anaondoka zake.
huyu yeye siku zote n mpole mpole,mkimya mkimya,sio kwamba anachuki na wengine Hapana huyu ndio alivyoumbwa,mfano wa huyu mtu ni kama jamaa anaitwa PROFESSOR kwenye season inaitwa MONEY HEIST huyu kiumbe ni mtu wa peke ake pake ake,lipo kama jinga jinga flani,ila Ana upendo wa hali ya Juu kwa wenzake sema ndio huwezi mgundua.(ana akili huyo acha kabisa)
watu wa aina hiii wakiwa watu wazima ndio effect zao huonekana kwasababu hatoweza dumu na rafiki na haoni shida kukaa bila rafik kwasababu ndivyo alivyoumbwa.
Tukirudi kwenye swali lako la Je Ni tatizo au si tatizo?
Jibu nadhani linategemea wewe upo kundi gani hapo juu.
Are you in a committed relationship ?Nahisi mimi ni introvert sababu hata nikiwa sehemu yenye watu wengi mi sio muongeaji sanaa,,pia nina aibu hila najiamini....naongea inaponibidi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Friends for keeps ?Much of what is called friendship derives from mutual socio- economic dependency.