Shilewashile
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 121
- 48
inabadili gear kwa haraka bila kuchelewa? tafuta fundi wako mwaminifu kisha akague Kila sehemu.pia anakuuzia bei gani ni kitu cha kuangalia pia kwa sababu ni gari ya zamani.
Na automatic engine na gear box zipo poa kabisa mkuu
I mean gari ni auto,
google carina tako la nyani utapata wasifu wake,inaonekana hapa watu hawajui kama inaitwa hivyo