Care International | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Care International

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mau, Apr 30, 2012.

 1. Mau

  Mau Senior Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bandugu kuna nafasi zilitangazwa hivi majuzi na Care international deadline ilikuwa 14 April vipi washaita? Manake kuna sred moja humu nimeona jamaa akiuliza mshahara wanaolipa Care kwa graduate.
  Naombeni mnijuze
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nakushauri ungem'pm huyo aliyeanzisha hiyo thread pengine anaweza akakupa info.
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  kwani hukuweka contact zako ??? kama watakautaji watakutafuta , ukianza kufuatilia utakufa kwa presha siku ukisikia watu walishaanza kazi kitambo
   
Loading...