Habari Wana JF.
Mimi nikijana wa miaka 23 nilipambana kutafta mtaji na Sasa nimepata million nne
My plan nikufungua car wash ndogo.
Mkoa niliopo nimefanya uchunguzi wa pressure washer machine nimekutana na wanaotumia za LUTIAN na EASY POWER nimekuja mbele yenu wakubwa naombeni mnishauri kati ya hizi mashine ipi nikampuni Bora 🙏🙏