Car security: Je, kuna Alarm System yenye 'KILL SWITCH' ndani yake?

Car security: Je, kuna Alarm System yenye 'KILL SWITCH' ndani yake?

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,378
Reaction score
1,245
Wakuu na wataalaamu wa mifumo ya ulinzi wa magari, title yajieleza.

Nahitaji kufunga ''Alarm System''. Pia nahitaji kufunga "Kill Switch" ili kuongeza security levels kwenye gari.

Kill Switch ambayo inazuia kabisa gari kuwaka.

Je, kuna mfumo ambao ni Two in One, yaani alarm + kill switch?

If yes, brand ipi ni the best kwasasa?
 
Jf ya siku hizi imekuwa ya kindezi sana.
Hii topic Angeileta username maarufu humu au demu, watu wangechangia sana tu na kutoa maoni.
 
Wakuu na wataalaamu wa mifumo ya ulinzi wa magari, title yajieleza.

Nahitaji kufunga ''Alarm System''. Pia nahitaji kufunga "Kill Switch" ili kuongeza security levels kwenye gari.

Kill Switch ambayo inazuia kabisa gari kuwaka.

Je, kuna mfumo ambao ni Two in One, yaani alarm + kill switch?

If yes, brand ipi ni the best kwasasa?
Funga alarm inaitwa "Auto watch" ina hizo feature unazotaka.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-08-13-19-05-12-974_com.mi.globalbrowser-edit.jpg
    Screenshot_2025-08-13-19-05-12-974_com.mi.globalbrowser-edit.jpg
    301.5 KB · Views: 13
Funga alarm inaitwa "Auto watch" ina hizo feature unazotaka.

Auto Watch ina kill switch ambayo inazuia kabisa gari kuwaka? yaani gari isipige starter?

Nachojua, Auto Watch inaruhusu gari kuwaka kwa dakika kadhaa kisha usipobonyeza button fulani hidden, gari inazima.
 
Back
Top Bottom