Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,013
- 13,648
Alibebwa mzobe mzobe na kutupwa nje kama mbwa mwizi. Na hajarudia tena hadi leo....Sugu tulishaona mateke yake!
Huyo afande mbona kama hajui kifuatacho
Jags naye kumbe ni mp?
Dadeki! Ngumi za kitaa zinapoingizwa bungeni!
Bado Jaguar wa Kenya!
Sugu tulishaona mateke yake!
Afande yuko wapi mbona sijamwona?Huyo afande mbona kama hajui kifuatacho
Yes! Newly elected!Jags naye kumbe ni mp?
HAPO POLISI........? SUGU VARANGATI LAKE WABUNGE WA CCM WALIOKOLEWA NA POLISICCMAlibebwa mzobe mzobe na kutupwa nje kama mbwa mwizi. Na hajarudia tena hadi leo.
Sasa mbona unapiga kelele, maandishi makubwa ya nini?HAPO POLISI........? SUGU VARANGATI LAKE WABUNGE WA CCM WALIOKOLEWA NA POLISICCM
Sugu siku hizi kawa mpole sana...hii ndiyo Tanzania bwana.Alibebwa mzobe mzobe na kutupwa nje kama mbwa mwizi. Na hajarudia tena hadi leo.