Captain Tesha ameleta taharuki

Captain Tesha ameleta taharuki

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
476
Reaction score
1,060
"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu"

"Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi"

"Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu"

"Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni mara ngapi niwaambie kuwa "Kifo ni kifo tu, msilete taharuki mitandaoni 😄😄"

Hapo Bi Chura anatafuta maneno ya kumchamba Tesha ila atapata tabu sana yeye na genge lake
Nasemaje, hata kama JWTZ limekataa kuchukua nchi, October 29 kitaeleweka. Tutaandamana mpaka pale Bi Chura atakapojiuzulu. Anaharibu nchi yetu huyu mama na genge lake akina Kikwete, Rostam na Abduli"
Yawezekana hata JWTZ kwenye uongozi kuna machawa wa CCM, ila huu mwaka hamtashinda.

Samia ajiuzulu, Tesha awe Rais 😏
 
Yani Samia na watoto wake wote akili kisoda, Yan Wanu anatoa ahadi ya kununua mashine ya kuchimba makaburi kweli!?

Hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuendelea kufagilia kuongozwa na familia ya vichaa kama Ile.
 
Hata ahadi zake ni kama ni kwa ajili ya show off tu. Eti wanataka kujenga barabara za mzunguko Tabora na Tabora hata hakuna msongamano
Wanataka kujenga kiwanja Msoga, kwa sababu tu ya Kikwete
Shida kuu ya Tanzania ni umasikini, lakini viongozi wanaipuuzia. Wao ni ujenzi wa viwanja tu. Hata huduma za kijamii tu bado ni shida hadi leo. Samia hana akili kabisa
 
IMG_20251005_081441.JPG
 
Hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuvumilia ujinga wa mtu kama yule, ni kichaa tu atafurahia hizo ahadi uchwara za kwenye "shopping list"
 
"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu"

"Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi"

"Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu"

"Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni mara ngapi niwaambie kuwa "Kifo ni kifo tu, msilete taharuki mitandaoni 😄😄"

Hapo Bi Chura anatafuta maneno ya kumchamba Tesha ila atapata tabu sana yeye na genge lake
Nasemaje, hata kama JWTZ limekataa kuchukua nchi, October 29 kitaeleweka. Tutaandamana mpaka pale Bi Chura atakapojiuzulu. Anaharibu nchi yetu huyu mama na genge lake akina Kikwete, Rostam na Abduli"
Yawezekana hata JWTZ kwenye uongozi kuna machawa wa CCM, ila huu mwaka hamtashinda.

Samia ajiuzulu, Tesha awe Rais 😏
Dah hii mkuu inabidi uiwekee tags za <sarcasm> </sarcasm>
 
Jeshi likifanya hivyo litakuwa limefanya cha maana sana. Mungu awafungue akili wanajeshi walikomboe taifa letu wakishirikiana nasi 😇
Niamini mimi hiki kitu nimekaa nacho muda sema nlishindwa kuweka wazi maana waswahili kuamini mpaka waone.Nchi hii itapinduliwa hata sio lazima mwaka huu ila ni kwamba hili jambo litatokea na liko nje ya uwezo wa binadamu.

Kwanza niseme tu habari ambayo itakuacha na maswali lakini ni hivi Tanzania imechaguliwa na Mungu(ukweli na ushahidi ninao mimi).Hili jambo la mapinduzi ya kijeshi nimeanza kuona ilikuwa nadhani mwishoni mwa 2020 kipindi nipo Kibo(kuna jamaa nlikuwa naenda kwake Bunju kuna siku nikamwambia Magufuri atapinduliwa japo sikujua kama jambo lingechukua muda lakini yeye akaja tu kufa kifo tu cha kawaida)

Huyu mama hata apite uchaguzi ni either atapinduliwa au hatamaliza muda wake(tupo wote mtakuwa mashahidi)
 
Watachukua nchi wanajeshi kuwa na subira hata wasipoandamana watu hata isiwe mwaka huu lakini soon tu nchi inapinduliwa anayebisha aseme nione wa kuzuia hili.
wanajeshi watapinduaje nchi wakati hawachukizwi na yanayotokea nchini? Unaambiwa huyo capitaine tesha ni wa mchongo, ni kanjanja si mwanajeshi!
 
Mitaani hakuna taharuki, kampeni zinaendelea kama kawaidg. Wananchi hawajui capitaine tesha kasema nini mitandaoni licha ya kuwa wengi wao sasa wanamiliki simu kubwa ila hawaingii mitandaoni. Watu wa mitandaoni ndio wanajua kuna taharuki, capitaine tesha kaongea mazito
 
"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu"

"Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi"

"Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu"

"Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni mara ngapi niwaambie kuwa "Kifo ni kifo tu, msilete taharuki mitandaoni 😄😄"

Hapo Bi Chura anatafuta maneno ya kumchamba Tesha ila atapata tabu sana yeye na genge lake
Nasemaje, hata kama JWTZ limekataa kuchukua nchi, October 29 kitaeleweka. Tutaandamana mpaka pale Bi Chura atakapojiuzulu. Anaharibu nchi yetu huyu mama na genge lake akina Kikwete, Rostam na Abduli"
Yawezekana hata JWTZ kwenye uongozi kuna machawa wa CCM, ila huu mwaka hamtashinda.

Samia ajiuzulu, Tesha awe Rais 😏
Ame chill mahali muda huu anatabasamu tuu
1759631388822.jpg
 
Mitaani hakuna taharuki, kampeni zinaendelea kama kawaidg. Wananchi hawajui capitaine tesha kasema nini mitandaoni licha ya kuwa wengi wao sasa wanamiliki simu kubwa ila hawaingii mitandaoni. Watu wa mitandaoni ndio wanajua kuna taharuki, capitaine tesha kaongea mazito
Leo RATIBA inasomeka wapi
 
Back
Top Bottom