sasa nyimbo tutatoa wapi?
Mkuu umechanganya kidogo hapo. Wapinzani wachanwechanwe na watupwe
Hamtakiwi kumsemea mabaya MTU alikufa alienda kaenda ndo mwisho Wa maisha yake hapa dunian tumuombee huko aliko coz hakuna aliyeenda akarudi akasema kukoje hatutamuona tena mh komba
na hayo marungu ya polisi mnayowaambia watupasue vichwa vyetu kila siku jee? na je kina mwangosi wao si watu? na hao albino mnaowakatakata kila siku kwa shughuli za matambiko ya kufukuzia madaraka na mali mnafikiri wao ni magogo? kumbe na nanyi mnajua sisi sote ni binadamueeeee???!!! maana mnavotutenda ni kama mwayatenda manguruwe vileKama Watanzania Taifa la watu wenye UTU(humanity) tumefikia mahali hapa kufurahia kifo cha mtu na kushangilia basi ninasikitika sana KWELI ninasikitika sana, Marehemu Captain John Komba ni mwanadamu kama sisi na kama wanadamu wengine ana mazuri yake na mabaya yake ana mema na mapungufu siyo VEMA hata kidogo kumtukana Marehemu na kufurahia kifo chake! Hebu jiulize mwenyewe kama Captain Komba angekuwa mzazi wako au ndugu yako watu wakawa wanafurahia kifo chake ungejisikiaje? Kuingia msituni kupinga serikali tatu ni mtazamo wake maana anaona mapungufu ya serikali tatu na madhara yake na ninyi mnaopinga serikali mbili mna mitazamo yenu na mnaona mapungufu ya serikali mbili na madhara yake(hiyo ni mitazamo) na inatakiwa kupingana kwa hoja na tofauti zenu za mitazamo iwe ndiyo umoja wenu kama taifa la watu wenye utu na hoja siyo kutukana na kujengeana uadui, hakuna anayejua salio halisi la maisha yake! Komba amefariki but who's next? Labda mimi au wewe! Hivyo tuepuke kutoa majibu emotional maana si VEMA kwa kiongozi kuongozwa na hisia, wengi mmeonyesha hisia za chuki huku mkijinadi kama mbadala wa utawala uliopo I can tell you that the situation will worsen than now because you guys don't think like actual leaders! Act and live like a righteous leader even though you're not in the system, Nimesikitishwa sana na kifo cha ndugu yetu Captain John Komba alikuwa mwimbaji mzuri na mhamasishaji mzuri sana wa yale anayoyaamini, Mungu amrehemu na kumpumzisha, AMEN
Naungana nawe kwa asilimia 100%.Chuki hata mtu anapofarikibado watu wana chuki nawe Tanzania tumefika pabaya. Capteni Komba hakuwa nazuri hata moja? Yeye ni Binadamu anaweza kusema kitu kiubinadamu tu.Kama Watanzania Taifa la watu wenye UTU(humanity) tumefikia mahali hapa kufurahia kifo cha mtu na kushangilia basi ninasikitika sana KWELI ninasikitika sana, Marehemu Captain John Komba ni mwanadamu kama sisi na kama wanadamu wengine ana mazuri yake na mabaya yake ana mema na mapungufu siyo VEMA hata kidogo kumtukana Marehemu na kufurahia kifo chake! Hebu jiulize mwenyewe kama Captain Komba angekuwa mzazi wako au ndugu yako watu wakawa wanafurahia kifo chake ungejisikiaje? Kuingia msituni kupinga serikali tatu ni mtazamo wake maana anaona mapungufu ya serikali tatu na madhara yake na ninyi mnaopinga serikali mbili mna mitazamo yenu na mnaona mapungufu ya serikali mbili na madhara yake(hiyo ni mitazamo) na inatakiwa kupingana kwa hoja na tofauti zenu za mitazamo iwe ndiyo umoja wenu kama taifa la watu wenye utu na hoja siyo kutukana na kujengeana uadui, hakuna anayejua salio halisi la maisha yake! Komba amefariki but who's next? Labda mimi au wewe! Hivyo tuepuke kutoa majibu emotional maana si VEMA kwa kiongozi kuongozwa na hisia, wengi mmeonyesha hisia za chuki huku mkijinadi kama mbadala wa utawala uliopo I can tell you that the situation will worsen than now because you guys don't think like actual leaders! Act and live like a righteous leader even though you're not in the system, Nimesikitishwa sana na kifo cha ndugu yetu Captain John Komba alikuwa mwimbaji mzuri na mhamasishaji mzuri sana wa yale anayoyaamini, Mungu amrehemu na kumpumzisha, AMEN
Wanabodi yoyote mwenye kufahamu historia ya aliekuwa mbunge wa Mbinga magharibi na kiongozi wa tot band marehemu capt komba naomba msaada
Nayotaka kujua toka kwa historia hiyo alijiunga na jeshi mwaka gani kalitumikia jeshi kwa mda gani na yapi aliyafanya ndani ya jeshi
Pia ni msukumo gani ulimfanya aachane na kazi ya jeshi akiwa na cheo cha ukapteni na kuamua kuingia ndani ya siasa.
Na mengineyo pia kama yatakuwepo kama kuzaliwa kwake na elimu yake
Natanguliza shukrani zangu.
Na watoto wangapi?