Mbona hamumsemi mwenyekiti wenu alie na vimada kila kona?
Kibo10 come this wayy
bado zipo picha chafu akiwa na lulu....
sasa mgonjwa mbona baadae katoa kanga kabaki manyonyo wazi!
eti yule ni mpiga kura wake alikuwa mgonjwa ndio maana alivaa kanga komba akiwa full nguo
komba aalienda kumjulia mgonjwa hali
Huyu ndugu yetu ni wakusamee bureeeeeeeeeeeeeeeee :der:
Nimefika masai dada kapt naona jinamizi linazidi kumwandama
Hii ishanasa john k huna namna ya kupinga uchafu wako ulioufanya
Wataalamu wa picha za madukani tulishakagua toka mwanzo na tuliridhika john kitambi alikuwa anajivinjari na machangudoa
Cc MSALANI njoo huku uone alichokanusha komba nini na hii ni nini.
hii napinga mpaka milele sio photoshop
Mkerewe Original ana Kitambi, wakati Mkerewe wa Picha flat screen!!
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
gazeti la mtanzania wameandika Dk.Hosea kuwasaka waliomchafua Komba