...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

[Q UOTE=Lizaboni;9754479]Mbona hamumsemi mwenyekiti wenu alie na vimada kila kona?[/QUOTE]
Tafadhali Liz, unamsema mwenyekiti wako?
 
Mzee mwenzangu, cha msingi hapa ni kuchutama tu!!
 
Hivi jina 'Komba' lina maana gani!!!!Embu nisaidienni kwa hilo kwanza!!!!
 



Mhe Komba,Komba ,Komba hutaweza kudanganya wtz kila sk
 
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba

Weeeeee machemli live bila chengaaaaaa
 

Duh,God forgive,kwa tabia hii ya viongozi wetu,siwezi kumwuita yeyote mheshimiwa!
 
Laana hii ya kumtukana Jaji Warioba kwamba ni wa hovyo. John Komba ni mzigo ndani ya CCM.

Hivi kweli ni uzito woote ule kuna kazi gani anaweza. Posho za Ubunge zinamtesa tu.

Watanzania wote sasa tunajua,yeye ndiye wa hovyo.
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?

Kiongozi anapashwa kujiheshimu,huyu bwana ameshindwa kujiheshimu kabisa, ngoja aumbuliwe!
 
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba

Huyu kwa jinsi alivyo wa hovyo aliona michepuko ni sifa.
 
sasa mgonjwa mbona baadae katoa kanga kabaki manyonyo wazi!

hahahaaa, Labda aliugua kichaa baada ya komba kuondoka. Lakini Komba alionja mate ya mpiga kura wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…