Canal Decorder

Canal Decorder

Weka taarifa kamili watu wajiongeze.
-Gharamaya ya kununua?
-Full set inajumuisha nini?
-Hiyo 40,000/= ni kila mwezi, mwaka?
-Ni ligi zipi au channel zipi za kijanja utaziona?
-Utaratibu wa kulipia ukoje? Wakala yupo wapi?
-Gharama ya kununua canal+(canal + ) ni 150,000 inakuja na dish na vifaa vyake vyote ikiwemo waya na LNB pamoja na dekoda(rimoti,hdmi,rca cable,power cable)
-hiyo 40,000 ni malipo kwa mwezi ambapo unaona ligi zote kubwa kama EPL(england),LA LIGA(spain),SERIE A(italy),BUNDESLIGA(ujerumani),LIGUE 1(ufaransa) pamoja na baba lao UEFA CHAMPIONS LIGUE
-utaratibu wa malipo ni kutuma hela kwa wakala(nipo kigoma)
asante
NB.na michezo mingine mingi ikiwemo magari,pikipiki,mieleka nk pia utapata
 
Sasa umesema tu uko kigoma, wengine hatuko kigoma, tunakupataje? Weka contact kaka tufanye biashara
 
Back
Top Bottom