CANADA : Watu wanne wauawa kwa kupigwa risasi msikitini

CANADA : Watu wanne wauawa kwa kupigwa risasi msikitini

Ukiona muislam haelewani na muislam mwenzake basi ujue mmoja ana Nifaq katika moyo wake.. Yaani anatumiwa na watu ambao ni maadui wa uislamu kuhujumu

Tafakari...!
embu jiulize hawa ISS, BOKOHARAM, ARQUIDA wanaotekeleza mauaji ktk nchi zao tena zilizo n waislam wng wanawaua wakna nani hasa?, hiv ukilipua katika soko au mji wa iraq au Libya unawaua wakna nani hasa waislam au wakristo?, na ukisema aya makundi si ya kislam nakupinga coz awa ni waislam hasa na wenyewe wanajitangaza hadharan kua ni waislam tena wanaotekeleza maagizo ya mtume ya kuua wale wote wasio waislam.
you have to think twice about islam
 
We hujui kutunga stori, yani wanatekeleza mauaji ya wasio waislam, halafu hapo hapo wanaua waislam. Dah rudi tena shule kaka
 
kwani lazima waislamu wakae kwenye nchi za makafiri? rudini kwenu.
Waislam waliopo Marekani na Ulaya wanaishi maisha ya amani kuliko wale wanaoishi nchi za Kiislam. Eti umeteleza kidogo umetembea na mtu asiye mke wako basi uchinjwe ufe??? Nchi zingine bana.
 
Allah amesema tubaki makwetu tusiishi na makafiri. Suraq- jahman qiraj ramadhun 12:04.
 
We hujui kutunga stori, yani wanatekeleza mauaji ya wasio waislam, halafu hapo hapo wanaua waislam. Dah rudi tena shule kaka
kaka we elimu yako ndogo sana kwangu. siku zote mtenda dhambi humrudia mwenyew, aya makundi ya kiislam imewawia vigumu sana kwao kuweza kuwafikia wakristo ili watekeleze maagizo yao ya mtume muhamad hivyo wanajaribu kutumia mbinu za kila namna ili kufanikisha azima yao ya kuichafu dunia ili hata wale waislam wasioamini mauaji ya kiimani wawaunge mkono ndio maana wanawaua waislam wenzao ili kuwajaza chuki za kidini ili wao watekeleze malengo yao, jua kua awa waislam wa aya makundi hata wakimuona mkristo mmoja katika kundi la waislam 30 wao wako radhi wawalipue wote na kisha ujipongeza kwa walichofanya kwa kumuua uyo mkristo mmoja huku wakisaau wameua na waislam wenzao 30 na haya yanatokea sana ktk hzo nchi za kiislam hasa zenye machafuko.
 
Insikitisha sana kuona watanzania tumejaa udini na ushabiki wa kidini kweli sisi ni mataahira!! Naumia sana nikiona comment za utenganishi na kubaguana kwa sababu ya dini nasema hivi sisi ni machizi wa kiwango cha billion riyals
 
Mtu hata kuelewa habari hajaelewa ila tu kwasababu ameona ni waislam basi imetosha imesha judge vya Ku judge ni utaahira wa kiwango cha Boeing 567
 
Mtu hata kuelewa habari hajaelewa ila tu kwasababu ameona ni waislam basi imetosha imesha judge vya Ku judge ni utaahira wa kiwango cha Boeing 567
Sio utaahira ndio mafundisho wanayopewa huko makanisani na masinagogi kwao tokea wakiwa wadogo kwamba uislam ni wa kuchukiwa. Udini maana yake ni kuchukia uislam sasa cha ajabu sisi waislam tunajifanya tunawakumbatia hawa lkn kamwe hata uwe unakunywa nao, unalala nao kama ww una jina la kiislam daima utakuwa adui wao.
 
Ukiona muislam haelewani na muislam mwenzake basi ujue mmoja ana Nifaq katika moyo wake.. Yaani anatumiwa na watu ambao ni maadui wa uislamu kuhujumu

Tafakari...!
Tatizo lenu mnahalalisha kuuana kwa msingi kuwa mnachochewa na mataifa ya Magharibi, hlf nyie watu kwanini mkubali kutumiwa na kuuana wenyewe kwa wenyewe?
 
Back
Top Bottom