Duuuuh hivi huwa unatumia nn kufikiri???Makalio ,Tumbo,mgongo or Visigino??mana naamini kichwa hata kiwe na tope kiasi gani hakiwezi kuwaza hivikaka we elimu yako ndogo sana kwangu. siku zote mtenda dhambi humrudia mwenyew, aya makundi ya kiislam imewawia vigumu sana kwao kuweza kuwafikia wakristo ili watekeleze maagizo yao ya mtume muhamad hivyo wanajaribu kutumia mbinu za kila namna ili kufanikisha azima yao ya kuichafu dunia ili hata wale waislam wasioamini mauaji ya kiimani wawaunge mkono ndio maana wanawaua waislam wenzao ili kuwajaza chuki za kidini ili wao watekeleze malengo yao, jua kua awa waislam wa aya makundi hata wakimuona mkristo mmoja katika kundi la waislam 30 wao wako radhi wawalipue wote na kisha ujipongeza kwa walichofanya kwa kumuua uyo mkristo mmoja huku wakisaau wameua na waislam wenzao 30 na haya yanatokea sana ktk hzo nchi za kiislam hasa zenye machafuko.
pinga hoja kwa hoja, hacha mihemko ya kike kike. toa points zako za kupinga unapoona nimekosea gaidi weweDuuuuh hivi huwa unatumia nn kufikiri???Makalio ,Tumbo,mgongo or Visigino??mana naamini kichwa hata kiwe na tope kiasi gani hakiwezi kuwaza hivi
Endelea kubaki na Matope yako Kichwani,ntaongea na wenye Akili timamu wanaojielewa ili usije ukaniambukiza Ujinga!pinga hoja kwa hoja, hacha mihemko ya kike kike. toa points zako za kupinga unapoona nimekosea gaidi wewe
Ww ni chizi mwenzangu maana asilimia kubwa tu ya watanzania ni machizi kwa mujibu wao naamini ni kweli rabda hujui asilimia 35% ya watanzania bara ni waislam na asilimia 30% ni wakristo na kule Zanzibar asilimia 98% ni waislam hoja zako zingekua kweli ukristo usinge kuepo tanzaniapinga hoja kwa hoja, hacha mihemko ya kike kike. toa points zako za kupinga unapoona nimekosea gaidi wewe
Siyo kweli ISIS Boko Haram alqaeda yote ni makundi yameanzishwa na marekani na washirika wake ili wapate sababu ya kuwapiga waislam .jumuiya zote za kiislamu duniani zinayapinga haya makundi kwa kuwa wanafanya mambo yasiyokubalika na uislam ila kwa kuwa vyombo vya habari vyote ni Mali yao au vipo mikononi mwao ndio wanatangaza yale wanataka na kusababisha watu hasa wenye nuovo za chuki kuelewa tofauti.waswahili w alisema UKITAKA kumuua mbwa mpe jina bayaembu jiulize hawa ISS, BOKOHARAM, ARQUIDA wanaotekeleza mauaji ktk nchi zao tena zilizo n waislam wng wanawaua wakna nani hasa?, hiv ukilipua katika soko au mji wa iraq au Libya unawaua wakna nani hasa waislam au wakristo?, na ukisema aya makundi si ya kislam nakupinga coz awa ni waislam hasa na wenyewe wanajitangaza hadharan kua ni waislam tena wanaotekeleza maagizo ya mtume ya kuua wale wote wasio waislam.
you have to think twice about islam
Wengine wanaoana wanaume kwa wanaume Tena viongozi na vyeti wanapeana tena ndio tuwape dunia waongoze?Wewe hujui kama waprotestant na wakatoliki wanauwana Ireland ya kaskazini?Na kwingineko duniani,wakatoliki na waprotestant hawaelewani?
Walokole na wakatoliki pia hawelewani.Walokole wanawaitwa wakatoliki,waabudu sanamu.
Sudani ya kusini wanauwana wakristo kwa wakristo.Kongo wanauwana.Kaskazini ya Uganda wanauwana.
ASANTE sana Yani huo ndio ustaarabu wanaoutakaVita ya Suun na Shia ni vita vya marekani na Mrusi, si vya waislam. Wenye akili wanalijua hilo.
ILa tuaache kwenye hali hii?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sio Mzima wewe, lazima utakuwa unafunza kichwani kwako.
Umesahau na wale wamarekani weusi wanaopigwa shaba kila siku na hakuna anayesema kitu.Kyle Saudi,Iran,Iraq kila Siku wasio waislam wanauwawa na hamna mtu anayesema chochote! Huko indonesia hivyo hivyo,hii dunia haipo fair!
Well said. ..Cha msingi kila mtu akae kwenye nchi yake..Stay an build your country...period.
Huko marekani mtu mweusi tu haishi kwa amani ndiyo itakuwa waislamu!Waislam waliopo Marekani na Ulaya wanaishi maisha ya amani kuliko wale wanaoishi nchi za Kiislam. Eti umeteleza kidogo umetembea na mtu asiye mke wako basi uchinjwe ufe??? Nchi zingine bana.
EHH Mwenye Enzi Mungu MOLA WANGU RHABUKA TUONGOZE MILELE yote. ..na utuepushe na majanga haya. ..uwìiiiii.Vita ya Suun na Shia ni vita vya marekani na Mrusi, si vya waislam. Wenye akili wanalijua hilo.
ILa tuaache kwenye hali hii?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sio Mzima wewe, lazima utakuwa unafunza kichwani kwako.
We unafikiri wale wanaopuliziwa sumu ya mbu na kuambiwa wajichue kanisani na wanakubali unadhani wakiambiwa waue waislamu watakaa? mtu ana imani kiasi una mwambia ale majani na anakula unafikiri kwa imani hiyo ndiyo anauwezo wa kukataa kuua?Tatizo lenu mnahalalisha kuuana kwa msingi kuwa mnachochewa na mataifa ya Magharibi, hlf nyie watu kwanini mkubali kutumiwa na kuuana wenyewe kwa wenyewe?
Binadamu ni ngumu kupendanaMWENYE ENZI MUNGU NI UPENDO. .