shirley myles
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 916
- 612
Kwa niniMzee bangi wanayovuta wao hapa TZ huipati hata ulime kwa kutumia nn
Kwa niniMzee bangi wanayovuta wao hapa TZ huipati hata ulime kwa kutumia nn
Kuna Rafiki yangu hii sheria ikipita hapa +255 atafrai sana maana wanapishanaga na mwanae kwa pusha. Baba bangi mtoto bangi
NoSky are you smoking?
imeandikwa wapi kuwa mmea ni haram?Wanzungu wako bize kuhalalisha kila kilicho haramu, ushoga, bangi basi wahalalishe na ugaidi
Aiseee kumbe uma umri huo
Bora unaukomavu
Vipeee nawe unaonja au?
Sijakusoma masiku hadi nimefurahi kukutana na lijina lako wewe adui chuma wa Cocochanel..
Ha ha ha ukiwa na marafiki lazima mlingane umri?? Kwa taarifa yako sinaga Rafiki kijana marafiki zangu wengi ni wazee nyie vijana mtanambia nini zaidi ya siasa mapenzi na hao wasanii wenye drama kila kukicha???
Subiri umri wako usogee utakuwa Rafiki yangu. ila uwe makini usije ukaendeleza uzao wangu
kwani bangi ni haramu..Wanzungu wako bize kuhalalisha kila kilicho haramu, ushoga, bangi basi wahalalishe na ugaidi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ubalozi wao uko wapi? Huko ndiyo kwa kwenda holiday.