msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
UMENIWAHI MKUU,NILITAKA KUSEMA HIVYO HIVYOGrace analinda mtaji wake hapo km K lyn.
Mpaka avute yy arambe urithi.
UMENIWAHI MKUU,NILITAKA KUSEMA HIVYO HIVYOGrace analinda mtaji wake hapo km K lyn.
Mpaka avute yy arambe urithi.
hahhaUnakumbuka suit aliyo apishwa nayo?
he's 90 plus, mnataka aonekaje?
If it ain't that then it's the other.With all due respect Grace is not doing any of those duties you mentioned. Maids(loads of them) do.
If you marry a rich sugar daddy dont be surprised to be called a gold digger.If it ain't that then it's the other.
Oh Well the rest of us are not all Grace's my dear. We have to do it ourselves and still at the peril of being termed gold diggers too.
Umepunguzwa na nani?Enzi za nabii musa, huyo alikua kinda kabisa, pipo ziliishi hadi miaka 1000, sasa 95 nayo ni miaka ya kumtisha mtu, enzi hizo dogo mwenye 95 anatakiwa awahi kuamka akachunge kondoo aisee.
Ila siku hizi umri umepunguzwa uwiiiiii. Ukionyeshwa mtu wa 70 kashechoka vibaya sana. Hakika raha za duniani ni udanganyifu wa muda mfupi mno. Tufanyeni ibada jamani.
And rightly so, because it was founded on cash.If you marry a rich sugar daddy dont be surprised to be called a gold digger.