Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,340
- 56,045
Tunapenda mmoja, wengine tunatamani
Ndioo ninaye ,nampenda zaidi ya nnavyompenda huyo ex.
Tunapenda mmoja, wengine tunatamani
😀😀😀😀😀Chama kinakutegemea dumisha chama.
HaswaaaHakuna anayependa watu wawili at the same time!
Ukweli ni kwamba hata kama utaoa wake kumi, siku zote yupo mmoja umpendae kuliko wote.
Upendo haugawanywi!!
I may date 2 or 3 gals per time lakini yupo mmoja kati yao anabaki kuwa mpenzi wa nafsi yangu.
Refer kwa Mfalme Suleiman.
My pure African man have me but he had other women too to make life goes on.
I love him the way he is... si kuwa sina wivu nao ila ndo uhalisia.... akija kwangu nampa mahaba yote.
K' Matata.



Wewe unaweza?Baelezee, baelezee wanatakiwa wajue kwamba mwanamke atampenda mtu mmoja kwa wakati mmoja, hawezi penda watu wawili au watatu wakati mmoja, atawapenda kwa nyakati tofauti.
Wewe unaweza?
Tamaa..uongo mwingi..Hakuna anayependa watu wawili at the same time!
Ukweli ni kwamba hata kama utaoa wake kumi, siku zote yupo mmoja umpendae kuliko wote.
Upendo haugawanywi!!
I may date 2 or 3 gals per time lakini yupo mmoja kati yao anabaki kuwa mpenzi wa nafsi yangu.
Refer kwa Mfalme Suleiman.
Kweli mkuu...Jamaa amejumuisha sana ilitakiwa aseme na tofauti za tamaduni
Ubaya wa mambo ..siku hizi imekuwa sewe.. .Mume wa ndoa nitakubali aongeze wake kwa nafasi zilizobakia kuliko azini bora awaoe tu
Mkuu ungetupa na kamfano labda!Daah hili si kweli sisi chokambaya tunaweza kupenda mwanamke mmoja Tu
Point!Kama tunakubaliana kwanza kutenganisha upendo na uzinzi sina tatizo. Mtu mmoja au maneno yasiyo na utafititi wa kutosha yasitumike kufikia hitimisho kwa wanaume wa kiafrika.
@Daby yupi huyo?
Abeeeeeeeee